Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Bhageshi huu mwaka lazima mgawane mabati sasa mna raruwana ....Wameanza kutoka mmoja mmoja.
Huyo TID katangulizwa tu baadae utawaona mawingu nao wansibuka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bhageshi huu mwaka lazima mgawane mabati sasa mna raruwana ....Wameanza kutoka mmoja mmoja.
Huyo TID katangulizwa tu baadae utawaona mawingu nao wansibuka!
Akihojiwa na Salama Jabir katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, msanii wa bongofleva Khalid Mohamed maarufu TID amesema ishu ya kutajwa katika scandal ya matumizi ya madawa ya kulevya ilimchafua sana kwani alikaa ndani siku 5 na hatozisahau!
TID anasema mpaka leo hajawahi kukaa sawa kwani jamaa, ndugu na marafiki wamekuwa wakimsema na kumchukulia vibaya!
Anadai kama sio kipaji na connection hata career yake ya mziki ingekuwa imefika mwisho, hivyo mpaka leo hajawahi kumuelewa Makonda!!
Naona watu wameamua kuisagia kunguni awamu ya 5.
Ni yeye ! Mzee Mnyama , Jembe [emoji38][emoji38]
[emoji38][emoji38][emoji38]unaweza kumwita kigogo au walioba au power bank
Not only TZ ni Africa yote , binafsi naona aibu sana !Awamu ya 5 ni moja kati ya awamu za hovyo kuwahi kutokea TZ
So what hata kama anatumia? Makonda ni boga with low IQ ,ameumiza na kudhalilisha wengi kwa ajiri ya upumbavu na kutaka misifa isiyo na maana,watu bado hawaja recover mpaka leo, he'll pay one daySasa kwa akili zako kama unadhania TID hatumii madawa?
Kazi hiyo ya kusaga kunguni Haitawalipa katika biashara zao.Naona watu wameamua kuisagia kunguni awamu ya 5.
Wazee wa CCM wanawaaribu sana hawa UVCCCM. Bashite wamemuumba upya.Duh Jamaa wezere lote limeenea kwny sofa.
Aache ujinga Makonda hakumchafua,kajichafua mwenyewe kwa tabia yake ya kutumia madawa ya kulevya.Akihojiwa na Salama Jabir katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, msanii wa bongofleva Khalid Mohamed maarufu TID amesema ishu ya kutajwa katika scandal ya matumizi ya madawa ya kulevya ilimchafua sana kwani alikaa ndani siku 5 na hatozisahau!
TID anasema mpaka leo hajawahi kukaa sawa kwani jamaa, ndugu na marafiki wamekuwa wakimsema na kumchukulia vibaya!
Anadai kama sio kipaji na connection hata career yake ya mziki ingekuwa imefika mwisho, hivyo mpaka leo hajawahi kumuelewa Makonda!!
Naona watu wameamua kuisagia kunguni awamu ya 5.
Hadi hapo Dawa bado zinamsumbua.Akihojiwa na Salama Jabir katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, msanii wa bongofleva Khalid Mohamed maarufu TID amesema ishu ya kutajwa katika scandal ya matumizi ya madawa ya kulevya ilimchafua sana kwani alikaa ndani siku 5 na hatozisahau!