Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna mtu yeyote mwenye akili ambaye aliwahi kumwelewa makonda. zero wenzake tu ndio huwa wanamuelewa na kumtetea.
wewe nawe ni mburura mwenzake. Hakuna chochote bashite alikifanya kwenye madawa zaidi ya kunyang'anya magari na mali za watu. ndio maana hata sabaya anaponyang'anya mali za watu na mipesa alikuwa anaawambia watajua wenyewe watakavyotafsiri kama ni Makonda style au nini.Makonda should be given credit at least for daring to put a stop to rampant drug dealing in the country. He was so daring that he brought to book untouchables including politicians and parliamentarians!!
wewe nawe ni mburura mwenzake. Hakuna chochote bashite alikifanya kwenye madawa zaidi ya kunyang'anya magari na mali za watu. ndio maana hata sabaya anaponyang'anya mali za watu na mipesa alikuwa anaawambia watajua wenyewe watakavyotafsiri kama ni Makonda style au nini.
watu pekee waliokomesha biashara ya madawa ya kulevya ni yule Kamishna wa madawa aliyestaafu (yule mmasai), akaja Kamishna Kaji, na huyo wa sasahivi. and I tell you, hadi sasahivi pamoja na juhudi kubwa walizofanya madawa bado yapo yanaingia kama kawaida kwa njia ya majahazi hata njia za kawaida. usiwe na akili yenye matope kama yeye.Isiwe na wewe alikugusa kama alivyowagusa
never, sehemu pekee niliyowahi kuyaona madawa ni Mahakamani wakati kesi ikiendeshwa, nayo yalikuwa yamefungwa. ila kwa mpenda haki yeyote, na mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia BASHITE, labda kama ubongo wake una spondylosis fragmantation.Isije kuwa na wewe ulikuwemo kwenye orodha yake! Kama ulikuwemo, una kila sababu ya kumsagia kunguni!!
hadi sasahivi pamoja na juhudi kubwa walizofanya madawa bado yapo yanaingia kama kawaida kwa njia ya majahazi hata njia za kawaida. usiwe na akili yenye matope kama yey
unaongea ujinga sawasawa na naman bashite anavyoongeaka. sijui mtapata lini akili aisee.Ndio maana nasema povu linakutoka Bashite lazima alikupitia kwenye orodha yake otherwise wewe mbwiga ungejuaje kuwa hiyo biashara bado inashamiri?
unaongea ujinga sawasawa na naman bashite anavyoongeaka. sijui mtapata lini akili aisee.
Ni kweli, ila kumbuka ilibidi tu amtumikie kafir kulikuwa hamna namnaAache unafiki, tunakumbuka alimuunga mkono makonda na kujifanya balozi wa kupinga madawa ya kulevya baada ya kutajwa na makonda, clip zipo mtandaoni, pili TID ni kweli unatumia unga usibishe
Ikiwa mwenyewe hujijali kwa kutumia madawa ya kulevya ulitegemea nani akujaliKakutuma uutangazie ulimwengu? Yanamhusu nini?
WANAFKI TU HAOAkihojiwa na Salama Jabir katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, msanii wa bongofleva Khalid Mohamed maarufu TID amesema ishu ya kutajwa katika scandal ya matumizi ya madawa ya kulevya ilimchafua sana kwani alikaa ndani siku 5 na hatozisahau!
TID anasema mpaka leo hajawahi kukaa sawa kwani jamaa, ndugu na marafiki wamekuwa wakimsema na kumchukulia vibaya!
Anadai kama sio kipaji na connection hata career yake ya mziki ingekuwa imefika mwisho, hivyo mpaka leo hajawahi kumuelewa Makonda!!
Naona watu wameamua kuisagia kunguni awamu ya 5.
Acha kujitoa akili ww,ukumbuki watu walilazimishwa kuunga juhudi?Aache unafiki, tunakumbuka alimuunga mkono makonda na kujifanya balozi wa kupinga madawa ya kulevya baada ya kutajwa na makonda, clip zipo mtandaoni, pili TID ni kweli unatumia unga usibishe