Kakutuma uutangazie ulimwengu? Yanamhusu nini?sasa kwa akili zako kama unadhania TID hatumii madawa????
Mpe taarifa mzee wa kula raha kuliko mtu yeyote.Wameanza kutoka mmoja mmoja.
Huyo TID katangulizwa tu baadae utawaona mawingu nao wansibuka!
Semenya wa Ukaldayo bana!Mpe taarifa mzee wa kula raha kuliko mtu yeyote.
Mwambie yajayo yanasikitisha na kutisha.
Nini wewe myebusi.Semenya wa Ukaldayo bana!
Ni yeye ! Mzee Mnyama , Jembe [emoji38][emoji38]Akihojiwa na Salama Jabir katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, msanii wa bongofleva Khalid Mohamed maarufu TID amesema ishu ya kutajwa katika scandal ya matumizi ya madawa ya kulevya ilimchafua sana kwani alikaa ndani siku 5 na hatozisahau!
TID anasema mpaka leo hajawahi kukaa sawa kwani jamaa, ndugu na marafiki wamekuwa wakimsema na kumchukulia vibaya!
Anadai kama sio kipaji na connection hata career yake ya mziki ingekuwa imefika mwisho, hivyo mpaka leo hajawahi kumuelewa Makonda!!
Naona watu wameamua kuisagia kunguni awamu ya 5.
[emoji38][emoji38][emoji38]
Inaonesha hakupenda kutajwa hadharani mpaka ndugu na Marafiki zake wakajua.Kwa hiyo TID hatumii madawa?
Okay, makonda alimkosea, je anatumia ama hatumii?
Aache upumbavu.
hata mimi kipindi kile ndo nikajua jamaa ni teja. baada ya kulazimishwa akiri mbele ya umma ili kumsafisha bashite ionekana anchokifanya ni sahihi. ajabu yake, hata leo hii TID kwenda ulaya visa yake kuipata itakuwa ngumu sana.Inaonesha hakupenda kutajwa hadharani mpaka ndugu na Marafiki zake wakajua.