Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio nini?Mtu aliyeitendea haki BBC ni Charls na Zuhura
Kwa sasa Wakenya wamekamata Uskani
Nani atasoma yale magazeti wakati siku hizi kuna mitandao ya kijamii? Kifo chake kilisababishwa na mitandao ya kijamii. Gazeti mpaka lisubiri Ijumaa ndiyo litoke, na umbeya wake uko kwenye form ya maandishi na picha tu wakati mtandao unakuletea hapo kwa hapo tena wakati mwingine ni video clip, kama ni scandal ya ''kubanjuana'' unaona in real.Magazeti ya Ijumaa na Uwazi yaliishi kwa scandalfaragja za watu. Kutungwa kwa sheria ulinzi wa faragha ndiyo ilikuwa kitanzi na hatinaye kifi cha magazeti hayo, na sheria hiyo ilitungwa dakika za mwisho za awamu ya JK.
BBC swahili ipo Nairobi ndio maana makala zao nyingi kwa Africa ni za Kenya. In short Kenya wamejipata 😁Mtu aliyeitendea haki BBC ni Charls na Zuhura
Kwa sasa Wakenya wamekamata Uskani
Nimeimiss comedy journalism yaani mtu anajirekodi na kuanza kutisha watu ama kusifu hata kucheza makilikiliTido Mhando akiwa leo 18/06/2024 Jumanna jijini Dar es Salaam wakati akizungumza katika kongamano la maendeleo ya sekta ya habari, amemshukuru Rais Samia...
Hakuna anayesimangwa ila kuambiana ukweli ni muhimuBado wanaendelea kumsimanga marehemu tuu 🤔 huo ni mfumo wa ccm
Yupo mama Zawadi Machibya na Regina Mwalekwa MziwandaMtu aliyeitendea haki BBC ni Charls na Zuhura
Kwa sasa Wakenya wamekamata Uskani
Basi we hujui.. kuelekea uchaguzi wa 2005 timu JK chini ya Rostam walinunua nyumba ya magazeti pendwa ya habari corporation iliyokuwa ikimiliki Rai, Dimba na Mtanzania.Watanzania ndio tulivyo, hatujadili issue, tunajadili mtu. Ukipitia thread nzima, Sijaona mtu ambaye amempinga kwa fact Ila kwa hisia...
Kasema ukweliHuyu mzee mwandishi uchwara amechanganyikiwa Kwa sababu ya uzee. uwezo wake wa kufikiri umeisha kabisa.Hata nyumbani kwake huw a aanguka hovyo sababu ya ukichaa wake
Huo ni ukweli usiofichika. MAGUFUKI aliharibu sana. Kama unaweza ukabana demokrasia ya vyama vingi na uhuru wa maoni ambavyo vinatambulika na Katiba iliyokuweka madarakani unakuwa umeturudisha nyuma miaka 35 kwenye chama kimoja