Haikuwa chini ya Bashe.
Ilikuwa chini ya Salva Rweyemamu ambaye baada ya hapo akapewa shukrani ya usemaji wa ikulu
 

Hizo ni siasa chafu kipindi cha uchaguzi na kama unakumbuka hata Magu pia alitumia hali ya kiafya ya Lowassa kuonesha yupo vizuri zaidi. Mbaya zaidi watu wa "chini", walimchafua kuwa alijiasadia haja kubwa jukwaani..

So ni kipya kwenye kuchafuana wakati wa kampeni

Hata hivyo umetoa mfano irrelevant, ulitakiwa kuonesha awamu ya kikwete kilitokea nini na si kipindi cha kampeni. Tunaongelea awamu ya uongozi na si wagombea mkuu
 
Lakini awamu ya Magufuli hatukusikia magazeti ya ijumaa, uwazi wala msanii.
Kupenda kweli upofu... Magazeti ya Ijumaa na uwazi kwa ivo yameanzishwa hivi zama za Samia!!??

Kweli maajabu hayaishi CCM.
 
Magazeti ya Ijumaa na Uwazi yaliishi kwa scandalfaragja za watu. Kutungwa kwa sheria ulinzi wa faragha ndiyo ilikuwa kitanzi na hatinaye kifi cha magazeti hayo, na sheria hiyo ilitungwa dakika za mwisho za awamu ya JK.
🎯✍️📝👍👌👏🤝👊🙏🎁🛡️

⚖️4Asimwe#
 
Kifo nilikiogopa na kukiheshimu sana kilivyopita na Mzilankede wa Chato bila kupepesa macho!
......Mwamba aendelee kupumzika huko alikotanguliza wengine.
Good news: Wote tutamfuata kila mtu kwa wakati wake.
Magufuli alikuwa anajua hii ''good news'' yako kuwa kifo ni cha kila mtu wakati anaamuru Lissu apigwe risasi na kupanga ni namna gani anataka maombelezo yake yawe?
 
Alikuwa coward tu, hoja zinamshinda yeye anafikiria kuua tu. Ni shujaa wa wajinga!
 
Mzee huyylu nilimuheshimu lkn naona anazeeka vibaya saiz kuongea porojo ni ujinga wa hali ya juu
 
Huyu mzee mwandishi uchwara amechanganyikiwa Kwa sababu ya uzee. uwezo wake wa kufikiri umeisha kabisa.Hata nyumbani kwake huw a aanguka hovyo sababu ya ukichaa wake
Huyu mzee mwandishi uchwara amechanganyikiwa Kwa sababu ya uzee. uwezo wake wa kufikiri umeisha kabisa.Hata nyumbani kwake huw a aanguka hovyo sababu ya ukichaa wake
Leo tido kawa uchwara??
 
Kesi ni kesi tu.

Huyo mzee ana bifu na Magufuli .

Kapata platform ya kutema nyongo basi lazima aitumie hana lolote huyo.
Magufuli alikuwa na bifu na dunia yote
 
Vumilia ukweli, dhalimu magu alishiriki sana kuua Uhuru wa vyombo vya habari katika ile kampeni yake ya kujifanya anakubalika.
Lkn Kuna habari imewekwa humu na Mzee Mwanakijiji inaonesha awamu hii uhuru wa vyombo vya habari uko taabani.

Vyombo vyote vya habari vinajikomba kwa serikali na kuandika habari za kichawa (wanasifia tu, hawakosoi). Akakazia kwa kusema awamu hii kuna "ukunguru wa habari" na siyo uhuru wa habari.

Hii sawa tu na awamu ya tano ambapo vyombo vyote vya habari vilikuwa vinaiogopa serikali na kuandika habari za kumsifia tu (waliogopa kukosa)
 
Source ya uoga wa Sasa wa vyombo vya habari ni mbegu ya uoga aliyopanda Magufuli. Utawala huu unetembelea humo humo kwa kujifanya wema kwa waandishi wa habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…