Sukuma gang hawataki mtu wao aguswe kwa chochote.Labda kumsifia tu.
 
Hata yeye tido amejadili watu na issues kwaiyo na yeye ajadiliwe
 
Tidi alipaswa kuwa waziri wa habari sema yule wabao la mkono anamizizi Toka enzi za babayake. Tunashida ya maudhui yeye anatuletea maroboti as if ndo big deal kwenye habari 😞 so sad
 
Tidi alipaswa kuwa waziri wa habari sema yule wabao la mkono anamizizi Toka enzi za babayake. Tunashida ya maudhui yeye anatuletea maroboti as if ndo big deal kwenye habari 😞 so sad
Ingekuwa aibu sana kwa Tido Mhando kuwa Waziri wa ccm
 
Watu wengine hawajui hata tunayozungumzia hapa
Kabisa... Na hili ndiyo limekuwa tatizo la watanzania.

Kuna wakati lilikuwepo Gazeti likiitwa "Jitambue" lengo lilikuwa kukuza utimamu wa akili na uelewa wa watanzania.

Watu kama kina Mzee Mwanakijiji nao kwa sehemu yao walijitahidi. Lakini tumerudi nyuma kabisa kama kabla ya mwaka 1978.
 
Huko ni kujipendekeza tu kwa mama Kizimkazi maana JPM alimnyoosha huyo Tido. Waandishi wa Habari wengi ni vilaza na hicho wanachokiandika ndo uwezo wao ulipofikia, huwezi kuwalinganisha waandishi wa habari wa sasa na akina Jonson Mbwambo, Stan Katabalo na wengineo waliokuwa wanaandika na msomaji unavutika kuzisoma habari zao zilizokuwa zimejaa ueledi wa kiuandishi. Tatizo lingine la Waandishi wa sasa wamekuwa na uandishi wa upande mmoja hawana uwezo wa ku-balance story, kwa ufupi hawajui kitu na ukiwapeleka kwenye habari za uchunguzi ndo kabisaaa debe mshindo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…