Tigo inamilikiwa na nani?

Tigo inamilikiwa na nani?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Kampuni ya Mawasiliano ambayo mtu mmoja anaweza kuwa Mwanasheria, akawa afisa tehama, akawa na uwezo wakusoma taarifa za wateja, akaziprint, akazipeleka anapoona panafaa kwa kugonga mhuri wa kampuni, akazisafirisha, akaenda kuzitetea mahakamani. Hii Ni taasisi inayomiliki data za wananchi na wasio wananchi?

Hii kampuni imeruhusu data za watu wanagapi zitumike kinyume Cha sheria? Watu wangapi taarifa za wapenzi wao zimevujishwa na matokeo yake wameumizwa au kuuwawa? Wafanyabiashara wangapi taarifa zao zimeuzwa kwa washindani wao? Viongozi wangapi wamedukuliwa? Raia wa kigeni wangapi taarifa zao za Mawasiliano zimevujishwa?

Kampuni hii wamiliki wake Ni wakina Nani na inajiamini Nini? Kesi ya Nondo Iringa mtu huyuhuyu alikwenda Iringa akatoa ushahidi wa uongo kwa mwamvuli wa Tigo, leo kwa kiburi kabisa anaeleza umma kwamba usiri wa taarifa siyo kipaombele cha kampuni, hiki kiburi anatoa wapi? Hata Kama ni afisa wa Serikali kwanini aruhusiwe atumike adharani kiasi hiki? Huu ni ujima? Serikali imekosa watu hadi inatumia hopeless people kama huyu?

Tigo lazima washtakiwe kuvujisha siri za wateja na kukosa mfumo sahihi wa utoaji taarifa. Wasipofilisiwa ipo siku data za mkuu wa nchi au wasaidizi wake zitapelekwa kwa maasiamu wa nchi jirani au ipo siku mataifa asimu watapandikiza watu wakuhamisha taarifa za wateja
 
Bila Katiba Imara haya mambo tutalalamika huku mitandaoni bila ufumbuzi wowote, kama sijasahau nadhani sio tigo pekee ambao wamefanya upuuzi kama huu, nakumbuka pia Voda kwenye ishu ya Kabendera, maadam wanayofanya yananufaisha watawala, kwa sasa hatuna cha kuwafanya, nasikitika kwa haya yanayotokea.
 
Kampuni ya Mawasiliano ambayo mtu mmoja anaweza kuwa Mwanasheria, akawa afisa tehama, akawa na uwezo wakusoma taarifa za wateja, akaziprint, akazipeleka anapoona panafaa kwa kugonga mhuri wa kampuni, akazisafirisha, akaenda kuzitetea mahakamani ...hii Ni taasisi inayomiliki data za wananchi na wasio wananchi?

Hii kampuni imeruhusu data za watu wanagapi zitumike kinyume Cha sheria? Watu wangapi taarifa za wapenzi wao zimevujishwa na matokeo yake wameumizwa au kuuwawa? Wafanyabiashara wangapi taarifa zao zimeuzwa kwa washindani wao? Viongozi wangapi wamedukuliwa? Raia wa kigeni wangapi taarifa zao za Mawasiliano zimevujishwa?

Kampuni hii wamiliki wake Ni wakina Nani na inajiamini Nini? Kesi ya Nondo Iringa mtu huyuhuyu alikwenda Iringa akatoa ushahidi wa uongo kwa mwamvuli wa Tigo, leo kwa kiburi kabisa anaeleza umma kwamba usiri wa taarifa siyo kipaombele cha kampuni, hiki kiburi anatoa wapi? Hata Kama ni afisa wa Serikali kwanini aruhusiwe atumike adharani kiasi hiki? Huu ni ujima? Serikali imekosa watu hadi inatumia hopeless people kama huyu?

Tigo lazima washtakiwe kuvujisha siri za wateja na kukosa mfumo sahihi wa utoaji taarifa. Wasipofilisiwa ipo siku data za mkuu wa nchi au wasaidizi wake zitapelekwa kwa maasiamu wa nchi jirani au ipo siku mataifa asimu watapandikiza watu wakuhamisha taarifa za wateja
Tukiwa tunawaambieni tumieni Mtandao Bora na Uliobarikiwa hata na Mwenyezi Mungu wa Airtel muwe mnatuelewa tafadhali.
 
Sijui Tigo inalaumiwa kwa lipi.
Nazan suhala sio kutoa hiz taarifa kwa mamlaka na sio tigo tu ,apa wengi wanahoji na kushangaa huo urahisi wa kupata izo taarifa kwa kisingizio cha mamlaka ,mfano ili la leo yani mtu wa kampun anakil kwamba anatoa taarifa bila ata kujua kosa wala sababu ya ilo jambo ,suhala linakuja je wangap wanaweza kutumia mwaya huo kufanya aya mambo kwa kisingizio cha mamlaka ,ata kama ni utii kwa mamlaka nilizan kunakua na ugumu ambao unaweza kumfanya yule ambae anaitaji aya mambo kwa faida yake ashindwe kwa hali hii inaonyesha ukiwa na nafas fulan au uwezo fulan ni rahis kuzipata taarifa za mtu
 
Naona ile kauli ya una tigo unarushiwa ngumi halafu unasikilizia sikio la pili inarudi tena.

Oooohoi tigo. Wenye tigo shauri yenu.
 
Back
Top Bottom