tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

Piga *148*01# ufurahie shilingi moja kwa sekunde kwenda mtandao wowote. Huna haja ya kujisajili..........Vigezo na masharti kuzingatiwa...........TIGO, EXPRESS YOURSELF na tunaomba msamaha kwa usumbufu wowote uliotokea.

Huyu jamaa ndio msemaje wa Kampuni ya tiGO nini?
 
mitandao yote ipo hovyo hovyo tu hakuna cha tigo airtel wala voda wizi mtupu
 
niliwashtukia zamani sana kama gharama zao ziko juu. Sa ivi nimetulia na mwandani zantel wa highlife sina bughudha na mtu. angalu kidogo wanaonekana si wezi wezi
 
Mi nlizani ni kwangu 2! Kumbe ni kwa wote? Wtf z wrong wit tiGo? Si waseme ukweli 2!
 
Hata mmi jana nimeshangaa, niliweka sh 5,000, nimeongea kama navyo ongea nikashangaa imeisha haraka, mbaka nikakopa, na sijalipa mbaka sasa ndio nataka nilipe mana nayo ya kukopa haikukaa kabisa, , leo ngoja nichunguze.

previous ilikuwa ukiongeza muda wa maongezi ulikuwa ukipewa pia muda wa bure kupiga mitandao mingine na tigo pia,hii ilifanya hela uliyoweka kuonekana kutumika zaidi, naona kama ile ofa sasa haipo tena, pengine hii inaweza fanya tuone kama tuna tumia zaidi kuliko hapo awali!!!
 
Piga *148*01# ufurahie shilingi moja kwa sekunde kwenda mtandao wowote. Huna haja ya kujisajili..........Vigezo na masharti kuzingatiwa...........TIGO, EXPRESS YOURSELF na tunaomba msamaha kwa usumbufu wowote uliotokea.

Hebu tuondolee huu upupu hapa, watutunashida wewe unatuongopea. shame on you!
 
Mimi jana nimeweka alfu5 lakini pesa ilikatika ghafla muda mfupi nikafikiri kuna mtu aliham,isha salio! Duuh! Kweli Tigo Depress Yourself!
 
Hawa tigo ni wezi, jana nimeweka vocha ya elfu moja nikampigia mtu nikaongea nae dkk 3 leo asubuh salio linaonyesha sh.82. WIZI MTUPU
 
Tigo wamezidi kuboresha huduma zao sasa kupiga tigo kwenda tigo ni shilingi 3 tuu kwa sekunde. teh teh **** ulikimbilia tigo ukidhani kuna dezo IMEKULA KWAKO....!!

Lakini this is unofficial news....! management ya tigo bado hawajaitangaza ....! gharama za uendeshaji zimepanda
nahama line soon nikidhibitisha
 
Nashukuru sana jf kuwepo yaani hawa mafala kweli hawajatutanmgazia kuwa itapanda jana nimeweka buku 2 nikashangaa nimeongea dk 9 ikabaki 400 nilipopiga tena nikaongea dakika 3 simu ikazima!! upuuzi mtupu huu najuta nimejiunga kwenye kifurushu cha intanet cha mwezi ndo namalizia data zikiisha tu watasoma namba
 
Huo mpango ndio na mm nimeustukia leo yaani niliweka bk2 in no time hakuna kitu
 
Hii kampuni wizi umezidi sasa..wakuu huduma yao ya TIGO PESA matangazo na vipeperushi vyao wameonyesha gharama zake za kutoa pesa mf 1000-4999 ni sh400 lkn ukitoa kiwango kilichopo ktk range hyo wanakata 500tsh. Mfano mi leo nmetoa 2500 ajabu wamekata sh500 nikashangaa hyo 400 wanayoitangaza kila wkt ipoje?,sh100 c hela kidogo jaman kama utaibiwa?,najiuliza kwann wasiseme ukweli tu kwny matangazo yao?. Tigo malalamiko yamezidi jaman yan kila siku nyie tu hamjirekebishi tu?.
 
Hiyo ni vocha?
 
Nimuda sasa nimeuvumilia vya kutosha naona umefika wakati wa kwenda kuliko bora.Haiwezekani unampigia mtu simu unaambiwa simu haipatikani,ukipiga tena inaita mara inakatika.ukipiga tena haipatikani,ukipiga inaita yaani ukitaka kuungoe na mtu inabidi jitahada zitumike ili uweze kuonge na mtu unayehitaji kuongea nae la sivyo unaweza kujua kuwa namba haipatikani kumbe tu mtandao uko ovaloaded.
 
Piga *148*01# ufurahie shilingi moja kwa sekunde kwenda mtandao wowote. Huna haja ya kujisajili..........Vigezo na masharti kuzingatiwa...........TIGO, EXPRESS YOURSELF na tunaomba msamaha kwa usumbufu wowote uliotokea.

nawasiwasi nawewe ...!! mfanyakazi wa tigo nini
 
Nimuda sasa nimeuvumilia vya kutosha naona umefika wakati wa kwenda kuliko bora.Haiwezekani unampigia mtu simu unaambiwa simu haipatikani,ukipiga tena inaita mara inakatika.ukipiga tena haipatikani,ukipiga inaita yaani ukitaka kuungoe na mtu inabidi jitahada zitumike ili uweze kuonge na mtu unayehitaji kuongea nae la sivyo unaweza kujua kuwa namba haipatikani kumbe tu mtandao uko ovaloaded.
utahamia mtandao gani? nijuze. hata mie nimechoka sasa nahamia ttcl landline au cdma
 
Back
Top Bottom