Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga *148*01# ufurahie shilingi moja kwa sekunde kwenda mtandao wowote. Huna haja ya kujisajili..........Vigezo na masharti kuzingatiwa...........TIGO, EXPRESS YOURSELF na tunaomba msamaha kwa usumbufu wowote uliotokea.
Hata mmi jana nimeshangaa, niliweka sh 5,000, nimeongea kama navyo ongea nikashangaa imeisha haraka, mbaka nikakopa, na sijalipa mbaka sasa ndio nataka nilipe mana nayo ya kukopa haikukaa kabisa, , leo ngoja nichunguze.
Piga *148*01# ufurahie shilingi moja kwa sekunde kwenda mtandao wowote. Huna haja ya kujisajili..........Vigezo na masharti kuzingatiwa...........TIGO, EXPRESS YOURSELF na tunaomba msamaha kwa usumbufu wowote uliotokea.
Hebu tuondolee huu upupu hapa, watutunashida wewe unatuongopea. shame on you!
Huyu jamaa ndio msemaje wa Kampuni ya tiGO nini?
nahama line soon nikidhibitishaTigo wamezidi kuboresha huduma zao sasa kupiga tigo kwenda tigo ni shilingi 3 tuu kwa sekunde. teh teh **** ulikimbilia tigo ukidhani kuna dezo IMEKULA KWAKO....!!
Lakini this is unofficial news....! management ya tigo bado hawajaitangaza ....! gharama za uendeshaji zimepanda
Hii kampuni wizi umezidi sasa..wakuu huduma yao ya TIGO PESA matangazo na vipeperushi vyao wameonyesha gharama zake za kutoa pesa mf 1000-4999 ni sh400 lkn ukitoa kiwango kilichopo ktk range hyo wanakata 500tsh. Mfano mi leo nmetoa 2500 ajabu wamekata sh500 nikashangaa hyo 400 wanayoitangaza kila wkt ipoje?,sh100 c hela kidogo jaman kama utaibiwa?,najiuliza kwann wasiseme ukweli tu kwny matangazo yao?. Tigo malalamiko yamezidi jaman yan kila siku nyie tu hamjirekebishi tu?.
Hiyo ni vocha?[/QU hapana,hyo ni hela-cash kama ilivyo m-pesa
Piga *148*01# ufurahie shilingi moja kwa sekunde kwenda mtandao wowote. Huna haja ya kujisajili..........Vigezo na masharti kuzingatiwa...........TIGO, EXPRESS YOURSELF na tunaomba msamaha kwa usumbufu wowote uliotokea.
utahamia mtandao gani? nijuze. hata mie nimechoka sasa nahamia ttcl landline au cdmaNimuda sasa nimeuvumilia vya kutosha naona umefika wakati wa kwenda kuliko bora.Haiwezekani unampigia mtu simu unaambiwa simu haipatikani,ukipiga tena inaita mara inakatika.ukipiga tena haipatikani,ukipiga inaita yaani ukitaka kuungoe na mtu inabidi jitahada zitumike ili uweze kuonge na mtu unayehitaji kuongea nae la sivyo unaweza kujua kuwa namba haipatikani kumbe tu mtandao uko ovaloaded.