Inawezekana, hata zilikopitia silaha za kukiamsha Libya 2011 ni utata.Tigray wanapataje silaha nzito nzito? Sio Wamanga wa Misri wanawapa kiburi? Suala la Kujenga Bwawa limewachefua Wamanga Koko
Wewe dini imekufanya kuwa mjinga sana.Acha aadabishwe kidogo, ili amwachie mmisry yale maji.
Niko upande wa misry, i support him
Mkandarasi nafikiri ni mtalianoBwawa litaendelea kujengwa japo kwa ufanisi mdogo. Kumbuka Vita haipiganwi kwenye bwawa kwahiyo Kama Wakandarasi wa kichina walisha lipwa hakuna sababu za kutojenga Hilo bwawa.
😀😀😀Badala ya kumsupport Baba yako huko kijijini. Unasupport wasiokujua
Wewe dini imekufanya kuwa mjinga sana.
Zuzu Jazz Band
Mkuu unawachukia wayahudi ?!!!🤣🤣Kutaja waislamu imewauma sana ee,,,acha wakipate cha moto hao ndugu zake mayahudi.
Mkuu unawachukia wayahudi ?!!!🤣🤣
Wayahudi ni kizazi kama walivyo wengine....ama unafungamanisha dola la kiyahudi na raia wa kawaida walioko huku mitaani Petah Tikva ,kule Haifa ,Ashdod na kwingineko ?!!!
Mkuu propaganda zisitufanye tukachukiana kama wanadamu Kaka 🤣🤣
Yetzer ha-tov
Shabbat Shalom🙏