Tigray Kuna mkono wa Egypt?

Tigray Kuna mkono wa Egypt?

Tigray wanapataje silaha nzito nzito? Sio Wamanga wa Misri wanawapa kiburi? Suala la Kujenga Bwawa limewachefua Wamanga Koko
Inawezekana, hata zilikopitia silaha za kukiamsha Libya 2011 ni utata.
 
Bwawa litaendelea kujengwa japo kwa ufanisi mdogo. Kumbuka Vita haipiganwi kwenye bwawa kwahiyo Kama Wakandarasi wa kichina walisha lipwa hakuna sababu za kutojenga Hilo bwawa.
Mkandarasi nafikiri ni mtaliano
 
Kutaja waislamu imewauma sana ee,,,acha wakipate cha moto hao ndugu zake mayahudi.
Mkuu unawachukia wayahudi ?!!!🤣🤣

Wayahudi ni kizazi kama walivyo wengine....ama unafungamanisha dola la kiyahudi na raia wa kawaida walioko huku mitaani Petah Tikva ,kule Haifa ,Ashdod na kwingineko ?!!!

Mkuu propaganda zisitufanye tukachukiana kama wanadamu Kaka 🤣🤣

Yetzer ha-tov
Shabbat Shalom🙏
 
Mimi siwachukii mayahudi wala wakristo mkuu. Na uisilamu unatufundisha kupenda na co kuchukia.
 
Back
Top Bottom