Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwezi wa 9 nilikata nikaahirisha kwa kutozwa asilimia, siku ambayo nilitarajia kusafiri ikashindikana tena, nikaona nikiahirisha nitalipia zaidi bora niitose tu.Takribani tiketi 782,000 zilizonunuliwa kwa ajili ya huduma za treni ya Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway kuepuka kukosa nafasi za kusafiri.
Watu wengi hawachemshi ubongo. Ukijua hii trick huwezi kukosa tiketi. Mfano unatoka Dar unaenda Dodoma na system inaonesha tiketi hamna. Tafuta tiketi ya Dar-Morogoro ukiipata ,then tafuta ya Morogoro -Dodoms au Ngerengere-Dodoma ukipata zote mbili unanunua,kazi yako itakuwa kuhama behewa tu. Na hii ndio sababu unaweza kwenda hadi Moro kuna kiti kiko empty kumbe kuna mtu alinunua Moro-Dodoma kabla mtu wa Dar-Dodoma au mtu amenunua Dar-Ngerengere wewe wa Dar-Dodoma hupati kwasababu ya hawa wanapshuka njiani.Kinachotakiwa ni kwamba taarifa ya tiketi kuwa wazi kituo kipi hadi kipi iwekwe wazi kwa abiria pia ili kama naenda Dodoma treni imejaa kuna nafasi ya hadi Morogoro naweza kutumia hiyo fursa nikapunguza safari na shirika likapata pesa.
Mfano, abiria amekata tiketi ya Ngerengere-Moro, siti ije wazi toka Dar ili kumchukua? Kwa nini isioneshwe ili kwa mfano mtu mwenye gari yake akate Dar- ngerengere halafu aagize dereva aje kumchukua Ngerengere? Abiria yuko Igandu amaenda Dodoma uaani siti itembee wazi toka Dar/Moro kweli?N.k
Huu ushairi wako nimeupendaWatu wengi hawachemshi ubongo. Ukijua hii trick huwezi kukosa tiketi. Mfano unatoka Dar unaenda Dodoma na system inaonesha tiketi hamna. Tafuta tiketi ya Dar-Morogoro ukiipata ,then tafuta ya Morogoro -Dodoms au Ngerengere-Dodoma ukipata zote mbili unanunua,kazi yako itakuwa kuhama behewa tu. Na hii ndio sababu unaweza kwenda hadi Moro kuna kiti kiko empty kumbe kuna mtu alinunua Moro-Dodoma kabla mtu wa Dar-Dodoma au mtu amenunua Dar-Ngerengere wewe wa Dar-Dodoma hupati kwasababu ya hawa wanapshuka njiani.
Hahahaha dah smart move.Watu wengi hawachemshi ubongo. Ukijua hii trick huwezi kukosa tiketi. Mfano unatoka Dar unaenda Dodoma na system inaonesha tiketi hamna. Tafuta tiketi ya Dar-Morogoro ukiipata ,then tafuta ya Morogoro -Dodoms au Ngerengere-Dodoma ukipata zote mbili unanunua,kazi yako itakuwa kuhama behewa tu. Na hii ndio sababu unaweza kwenda hadi Moro kuna kiti kiko empty kumbe kuna mtu alinunua Moro-Dodoma kabla mtu wa Dar-Dodoma au mtu amenunua Dar-Ngerengere wewe wa Dar-Dodoma hupati kwasababu ya hawa wanapshuka njiani.
Shida ya bongo ni kuwekeana ugumu ili wasioweza kuchemsha bongo wahangaike. Kwa nini wao wenyewe TRC wasirahisishe kwa kwa kuweka uwazi wa maeneo yaliyo na nafasi ili wapate faida?Watu wengi hawachemshi ubongo. Ukijua hii trick huwezi kukosa tiketi. Mfano unatoka Dar unaenda Dodoma na system inaonesha tiketi hamna. Tafuta tiketi ya Dar-Morogoro ukiipata ,then tafuta ya Morogoro -Dodoms au Ngerengere-Dodoma ukipata zote mbili unanunua,kazi yako itakuwa kuhama behewa tu. Na hii ndio sababu unaweza kwenda hadi Moro kuna kiti kiko empty kumbe kuna mtu alinunua Moro-Dodoma kabla mtu wa Dar-Dodoma au mtu amenunua Dar-Ngerengere wewe wa Dar-Dodoma hupati kwasababu ya hawa wanapshuka njiani.
This is a typical white elephant project.Takribani tiketi 782,000 zilizonunuliwa kwa ajili ya huduma za treni ya Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) nchini Tanzania hazikutumika kati ya Januari na Septemba 2026, kwa mujibu wa
Aidha, Kihenzile alionya kuwa mahitaji ya usafiri wa treni huwa makubwa zaidi nyakati za mwisho wa wiki, huku akiwashauri abiria kukata tiketi mapema ili kuepuka kukosa nafasi za kusafiri.
Afu ripoti ya cag ikija utaambiwa shirika linaendeshwa kwa hasara.Usafiri una pesa nyingi sana, SGR kwa mwaka wanaingiza takribani bilioni mia tano.
Hakuna ugumu wowote uliowekewa. Wewe unataka direct ticket ya Dar Dom hakuna na system inaona hakuna. Ukiwa pale station unaweza kupewa option hio. Ila online system haiwezi kukupa Dar-Ngerengere wakati wewe unataka Dar-Dom.Shida ya bongo ni kuwekeana ugumu ili wasioweza kuchemsha bongo wahangaike. Kwa nini wao wenyewe TRC wasirahisishe kwa kwa kuweka uwazi wa maeneo yaliyo na nafasi ili wapate faida?
Hasara ya TRC ni zaidi ya SGR. Ingekuwa wanatoa hesabu ya SGR peke yake usingesikia hasara.Afu ripoti ya cag ikija utaambiwa shirika linaendeshwa kwa hasara.
Wakati SGR inaanza mlisema haichukui miezi sita itakufa. Walioipa muda mrefu walisema mwaka tu. Ila huu unaenda mwaka wa tatu onadunda na huduma ni ile ile kiwango cha juu. Mara nyingi wasiotumia SGR au pessimists ndio huwa wanaponda SGR.This is a typical white elephant project.
Mkiwa na katiba dhaifu, halafu wafanyabiashara wakawa ni ⁷viongozi wa kisiasa, tegemeeni miradi ya kiserikali kuhujumiwa Sana.
Abood ni mshindani wa SGR
Shabbiby ni mshindani wa SGR
Ester Luxury ni mshindani wa SGR
Na hawa wote ni wabunge, wana pesa na wana access ya kufanya hujuma kadiri watakavyo.
Hapo TRC lazima achome Sana mahindi
Una uhakika? Kwa nini hawatoi SGR pekee na combination ya vyote kwa pamoja? Huu mradi ni suala la muda tu CCM hawawezi kufanya jambo la maendeleo zaidi ya kuua na kupora. Kna member juu hapo kaweka list ya wanasiasa wenye biashara ya ushindani na SGR, unadhani watataka kupata hasara? Nakuhakikishia hata haya maelezo ya watu kukata tiketi na kutosafiri yameongezwa chumvi ili kulinda wezi. Huu mradi una hujuma nyingi.Hasara ya TRC ni zaidi ya SGR. Ingekuwa wanatoa hesabu ya SGR peke yake usingesikia hasara.
Sawa.Una uhakika? Kwa nini hawatoi SGR pekee na combination ya vyote kwa pamoja? Huu mradi ni suala la muda tu CCM hawawezi kufanya jambo la maendeleo zaidi ya kuua na kupora. Kna member juu hapo kaweka list ya wanasiasa wenye biashara ya ushindani na SGR, unadhani watataka kupata hasara? Nakuhakikishia hata haya maelezo ya watu kukata tiketi na kutosafiri yameongezwa chumvi ili kulinda wezi. Huu mradi una hujuma nyingi.
Hakuna namna online system ioneshe njia zilizo wazi? Kwa hiyo kama nipo pembeni ya Dodoma ni lazima niende station kuuliza? Nini maana ya maendeleo ya teknolojia!Hakuna ugumu wowote uliowekewa. Wewe unataka direct ticket ya Dar Dom hakuna na system inaona hakuna. Ukiwa pale station unaweza kupewa option hio. Ila online system haiwezi kukupa Dar-Ngerengere wakati wewe unataka Dar-Dom.