Tiketi za SGR 782,000 zanunuliwa lakini hazikutumika ndani ya miezi tisa

Tiketi za SGR 782,000 zanunuliwa lakini hazikutumika ndani ya miezi tisa

Huo ni uhujumu uchumi, kwanini usipige simu ili ticket yako auziwe mtu mwingine kama umepata dharura?
 
milioni 7.64 x 30000 ( average ya tiketi za dom + Morogoro)...utajua imeingia kiasi gani (minimum)
 
Hakuna namna online system ioneshe njia zilizo wazi? Kwa hiyo kama nipo pembeni ya Dodoma ni lazima niende station kuuliza? Nini maana ya maendeleo ya teknolojia!
Sijui mkuu.
 
Back
Top Bottom