TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

Kuna vitu vimetengenezwa siyo kwaajili ya matumizi ya watu wote yaan mi nikikukuta unatumia tiktok alaf we ni wa kiume najua tayari umeleft grp
wali nazi au mchele coca

unakuta kidem kinaangalia tiktok kinachekacheka na wewe wakiume nae uko kwenye bus unaangalia tiktok unajichekesha chekesha pembeni ya wanaume wenzako?

asee shenzytype
 
Unalinganishaje utube na vitu vya kijinga. Ticktock haina content yoyote ya maana zaidi imejaza mashoga na vitu vya kijingakijinga tu. Youtube hakuna mambo ya kipumbavu kama ilivyo ticktock.
Watu wanaotumia ticktock wengi ji kwa ajili ya kukata mauno, kutangaza ushoga, yaan hakuna content za maana utakuta kule ni ujingaujinga ndo umejaa na vitoto vya 2000 ndo vinasumbua sana kule. Huezikuta mtu mzima anaweka vitu kule sababu ina irrelevant contents zinazoendana ma utoto utoto mwingi
 
Tiktok,YouTube imewatoa wengi na wengi kutajirika but don’t compare them,ungesema zinategemeana kwa sasa ningekuelewa,kwamfano kwa wasanii ili atrend itabid aeke nyimbo tiktok, ili kumuongezea viewers,followers kutoka mataifa mbali mbali ,mfano Mapopo kuna wengine wanatoa videos YouTube zilizopitwa na wakati na kuzipost watu wanarudia kuzichek hata kama msanii alikua amepotea anarud kwenye chart na anatrend upya,mfano ile amapiano ya Goya menor you want to bamba you wanna chill with big boys, something new by wiz etc,wazungu wa tiktok wakizielewa nyimbo zako YouTube kupata viewers wengi haichukui muda!!!
 
Umeongea sahihi YouTube ni ngumu kufa aisee
 
Exactly, nilitaka kumjibu mleta mada ila maelezo yako yamemaliza kila kitu. DIY, kuna tutorials karibia kila angle ya maisha ni wewe tu na bundle yako uingie kujifunza, watu tumejifunzia vitu vingi youtube hadi basi. Binafsi hata hiyo tik tok sina.

Youtube ni learning platform, tik tok nadhani ni kwa ajili ya vichekesho tu huko.
 
Hao mashoga mbona huwafiri sasa😂
 
Nakubali asilimia mia
 
Umeandika ujinga mtupu, Tiktok ni TAKATAKA, iko pale kwaajili ya watu wenye upeo mdogo.
Youtube haitokuja kupotezwa na tiktok labda itokee app nyingine, youtube ni bahari ya maarifa wakati tiktok na kisiwa cha ujinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…