Nundu_Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 811
- 349
Kwa hayo uliyosema kama nilivyo ya -highlight hapo, unakusudia kusema nini? "...Mola ana umbile na umbile lake halifanani na kiumbe chochote...". Hii maana yake nini? Kwa vipi ni tofauti na: 'hakuna anaejua umbile la Mola'?Mimi tangu mwanzo nilikwambia kabisa kwamba Mola ana umbile na umbile lake halifanani na kiumbe chochote,
Ni kama unashindwa kuelewa ."Utakatifu na Asili ya Mungu kwa Adamu, Adamu aliiharibu". Hivi ndivyo nilivyokujibu.Mwanadamu daima yupo katika hasara isipokuwa wale kuhusiana kuhusu subira na kufanya mema. Mola aliyajua yote haya na uhuru ulikuwa kwa Adamu na akili na tahadhari alipewa kama ilivyo kwetu,kwahiyo kukosea ni katika maumbile ndio maana kuna moto na kuna pepo,na mbora kati mwanadamu ni yule mwenye kukosea kisha akatubia.
Historia ya nini?vitabu vya dini hasa Injili,Torati,Zaburi na Qur'aan hivi vimejumuisha sheria,historia na kumpwekesha Mola mmoja muumna mbingu na ardhi na vyote vilivyomo.
Upande wangu na upande wako, huo ni udhaifu tayari - ni kosa.Misingi ya uandishi wa Historia katika upande wenu na upande wa secular una madhaifu sana na hili nimeliona mpaka kwako na umejaribu kutenganisha Historia na vitabu vya dini,jambo ambalo ni kosa kubwa.
Kwa hayo uliyosema kama nilivyo ya -highlight hapo, unakusudia kusema nini? "...Mola ana umbile na umbile lake halifanani na kiumbe chochote...". Hii maana yake nini? Kwa vipi ni tofauti na: 'hakuna anaejua umbile la Mola'?
Biblia si kwa ajili ya kutufahamisha mwanadamu au mtu wa kwanza alikuwa nani au aliitwa nani. Siyo kazi ya masimulizi ya biblia au, hata Quran kutupa habari za mtu wa kwanza aliitwa nani au alikuwa nani au aliishi wapi.Sasa ndio utuambie wewe umejuaje kama mtu wa kwanza sio Adamu ? Na utuambie chimbuko la mtu huyo ni nini ?
Huku mwisho naona umesema "Ukweli hata hivyo ,unabaki kuwa mtu aliumba". Hivi ndivyo ulikusudia kuandika au ulimaanisha "kuumbwa" ? Maana nina maswali pia kutokana na kauki yako hii.
Unajidanganya tu, hayo uliyosema hayana uthibitisho zaidi ya hicho kitabu chenyewe...Kutokana na kuwa hakuna anae weza kumuelezea Mola mlezi,yeye mwenyewe akaamua kujielezea alivyo kwa sifa zake na umbile lake,katika hilo alimtumia mtume wake.
Umbile la Mola wetu mtukufu hakifanani na la kiumbe chochote,na yeye kama alivyojipambanua ya kuwa hafanani na kiumbe chochote wala hana mfano.
Kaka kwani kuharibu si ndio dhambi hilo kosa ambalo wewe unadai tumeridhi sio dhambi ?Ni kama unashindwa kuelewa ."Utakatifu na Asili ya Mungu kwa Adamu, Adamu aliiharibu". Hivi ndivyo nilivyokujibu.
Ungetafakari jibu hilo. Au kama hukuelewa ungeuliza.
Lakini umeacha hilo umerukia dhambi binafsi.
Kama ingekuwa dhambi binafsi ya Adamu kwanini tuhusishwe nayo, hata sisi - uzao wake?Bila shaka wewe ndio hukunielewa mimi,sababu kosa ndio hiyo hiyo dhambi. Kwani kosa lile la Adamu si kosa binafsi vipi liwe mpaka kwetu ?
Biblia si kwa ajili ya kutufahamisha mwanadamu au mtu wa kwanza alikuwa nani au aliitwa nani. Siyo kazi ya masimulizi ya biblia au, hata Quran kutupa habari za mtu wa kwanza aliitwa nani au alikuwa nani au aliishi wapi.
Nimeshaeleza hili. Lakini kwa ufahamu zaidi, waandishi wa biblia au quran wametumia fasihi.
Historia ya nini?
Kosa kwa nani ? Suala la kutofautiana ni suala la kimaumbile haliepukiki,sababu kuna watu tayari wameshajichagulia njia zao na kuacha njia sahihi. Ila kosa linaingia pindi mtu atakapo acha haki akafata uovu.HayaUpande wangu na upande wako, huo ni udhaifu tayari - ni kosa.
Haya ni kwa mujibu wa mafundisho yenu,na nilikunukulia aya huko nyuma ya kuwa katika Uislamu hakuna mmoja kubeba mzigo wa mwenzake.Kama ingekuwa dhambi binafsi ya Adamu kwanini tuhusishwe nayo, hata sisi - uzao wake?
Hapo ndipo hatuelewani ndugu yangu.
Hilo kosa ni dhambi sababu alishaambiwa juu ya kutokuukaribia ule mtu,na ndio maana alipoomba msamaha akasamehewa na hili lipo mpaka kwetu kwamba ukifanya dhambi ambayo ndio kosa lenyewe ukitubia unasemehewa.Dhambi binafsi ni tofauti na 'kuharibu utakatifu na asili ya Mungu', yaani dhambi ya asili. Hili ndilo kosa alilolitenda Adamu na siyo dhambi binafsi.
Ndiyo sababu nikasema, kama hujaelewa uliza.
Ndugu yangu, siandiki kwa lengo la kukuondoa kwenye msingi wako.Kaka nakusihi kitu kimoja,usiizungunzie Qur'aan sababu huijui,katika Qur'aan mule hakuna hata herufi moja ya mwanadamu yaani ule ni ufunuo moja kwa moja toka kwa Mola wetu mlezi. Mule hakuna fasihi ya Mwanadamu ndio maana hata wale mabingwa wa lugha ya kiarabu wa zama za mtume waliishangaa sana Qur'aan.
Kwa maneno yako hayo yanazidi kuitia dosari Biblia kuonekana ya kuwa katika Biblia kuna ufundi wa mwanadamu ndio maana ina makosa mengi.
Vitabu vya dini vimekusanya habari za kale na kuumbwa kwa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ili sisi waja tupate kujua wapi tumetokea,na hili
Kugawanyika ni jambo la kimaumbile na haliepukiki,na kugawanyika kuna letwa na sababu nyingi.Kama wewe una upande, na mimi nina upande maana yake tumegawanyika.
Sasa tumegawanyika kutoka kwenye nini na nani amegawanyika na nani hajagawanyika, ni suala la ukweli wenyewe wa dini.
Dini imejumuisha yote hayo na dini imekuja kwa ajili ya kulinda mambo matano,nayo ni :Na dini inakusudia nini? Mungu? Binadamu - maisha ya ndoa na uchumi?
Tuache hayo. Tuje kwenye swala la msingi: Historia ya nini?
Poa.Unajidanganya tu, hayo uliyosema hayana uthibitisho zaidi ya hicho kitabu chenyewe...
Hilo nalijua na huna uwezo wa kunitoa katika msingi,ila nakusahihisha ili usiendelee kukosea na kushughulika na jambo usilolijua,kwani litakuumiza zaidi.Ndugu yangu, siandiki kwa lengo la kukuondoa kwenye msingi wako.
Hakuna jambo linalopotosha kama hili la kusema, kwamba, Qur'aan haijaandikwa na wanadamu. Mawazo hayo ni kujidanganya.
Dah... Huyu jamaa yuko JF halafuJamaa kaikopi kama ilivyo na anapiga pesa huko YouTube View attachment 1203440
Nikasema niangalie kuongeza ujuzi nikakuta anatusomea thread yakoDah... Huyu jamaa yuko JF halafu