Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?

izo 15 to 20min ni issue ya distance tu sidhan kama ina maanisha tupo nyuma ya mudaa.
 
Ivi mnao sema ukitaka time travel ikamilike unatakiwa uwe na speed karibu au zaid ya mwanga kwa direction gan? yan kwa speed iyo uelekee wap?
opposite the place unaobserve! kama upo north then travel south, kama uko east then move towards west
 
opposite the place unaobserve! kama upo north then travel south, kama uko east then move towards west
ivo tu. nop. If you were traveling at the speed of light you could fly around the world 7 and a half times in one second. hii ni along the earth surface inamaana kwa 2 seconds utazunguka mara 14 utakuwana uko speed kubwa tu bac. sasa kwa speed hii along to the space sijui nn kitatokea lakin huwez ona kitu chochote kuhusu past wala future.
 

enough with all the explanations, kama hutaki kuelewa just be it maaana nakuelezea hutaki kuelewa
 
izo 15 to 20min ni issue ya distance tu sidhan kama ina maanisha tupo nyuma ya mudaa.

now lets say kuna mtu alikua anaishi ndan ya jua, wakati jua linakufa yeye atakua wa kwanza kuexperience darkness, wewe ukiwa duniani you need 15- 20 mins kujua kama kuna gza, if you make a phone call kwa yule mtu aliepo kwenye jua atakwambia uku jua lishakufa wewe bado ukiona mwanga! sasa ule mfano nliokwambia he is wrong ndo uliokua umebase apa! japokua alijitahidi kuelezea kidogo but alikuja kuharibu baadae! kwa kua radio waves travels at the speed of light its impossible to get the correct answer kutoka kwa yule mtu aliekua kwenye jua! but now if it was beyond the speed of light that example would have made alot more sense!

-
 
enough with all the explanations, kama hutaki kuelewa just be it maaana nakuelezea hutaki kuelewa
Sio sitaaki kuelewa! lakin izi ni theories tu hazina hidhibati na ww unaweza ukafikir pia usinga'nga'nie maelezo ya watu wengine
 
anyway kuna watu wanatengeneza time machine ngoja tuone. ila nahisi litakacho tokea sio walicho kitaka. itakuwa kama ile ya kuficha meli ya kivita kwa kutumiaa magnetic fields wasionekane na radar ya adui kikatoke kitu cha ajabu mali haikuonekana hata kwa macho hata physical space yake haikuwa imechukua
 
Philadelphia experiment
 
GPS inasimamiwa na US MILITARY ...

Kila uchao mabwana wakubwa hubuni mambo kuzidi kuiweka dunia katika himaya yao ima kwa UZUSHI ama UHALISIA.....

 
GPS inasimamiwa na US MILITARY ...

Kila uchao mabwana wakubwa hubuni mambo kuzidi kuiweka dunia katika himaya yao ima kwa UZUSHI ama UHALISIA.....
Kuna dereva mmoja ujeruma anasema gps imemdanganya imuonesha kuna bararabara kumbe kuna bonde flain ivi😅😅. ebu ongeza sauti kidogo mkuu
 

buda cheki, time machine ndo nn sasa? kwan tunaongelea movie apa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…