Times FM: Asilimia 90 ya Watanzania wanaifuatilia Yanga tu

Times FM: Asilimia 90 ya Watanzania wanaifuatilia Yanga tu

Weka research methodology tuone ulivyoendesha utafiti wako
Owk
Kwenye sampling design..in data collection....imetumika purposive sampling design.... where by a targeted population where visited basing on their special xtics they had eg education about football...age

Data collection methods ..... involved questionnaire..., observation.....and interview
 
Wanazo sababu ya kuyasema hayo maana kwenye mechi zao mbona kunakua na mapengo ya watazamaji, week end hii wana mechi kubwa dhidi ya mamelodi ndo kwanza jukwaa la mzunguko wanaingizwa bure 90% inakujaje hapo!!!
Hii inaonyesha Yanga Wana big fans engagement than any football team in Tanzania
 
Hilo jina yanga tu limekaa kama jina la jini fulani hivi. Yanga? Aisee.
Yaaah mkuu...that's ndo timu yenye mafanikio zaidi bongo ....bila ushirikina
 
Yupo sahihi kabisa , kuna mechi moja tu kubwa ya yanga na mamelodi .
 
Yaaah mkuu...that's ndo timu yenye mafanikio zaidi bongo ....bila ushirikina
Timu ya ccm hiyo, mafanikio yake yanawezeshwa na chama kama kulipiwa viingilio bure halafu mlipaji apate vifavour favour kwenye biashara n.k
 
Timu ya ccm hiyo, mafanikio yake yanawezeshwa na chama kama kulipiwa viingilio bure halafu mlipaji apate vifavour favour kwenye biashara n.k
Unprofessional.....hakuna clear correlation na hicho
 
Owk
Kwenye sampling design..in data collection....imetumika purposive sampling design.... where by a targeted population where visited basing on their special xtics they had eg education about football...age

Data collection methods ..... involved questionnaire..., observation.....and interview
Weka questionnaire tuone maswali
 
Ukiona timu inaruhusu mashabiki kuingia bure ujue haina mashabiki wa kutosha wenye uhakika wa milo miwili.
Kila msimu unapoisha TFF hutoa takwimu wa timu ipi inayoongoza kuingiza mashabiki kwenye mechi zao pamoja na mapato,labda unaizungumzia timu yako mbumbumbu.
 
Mkuu unahisi Nini kilichofanya mechi hii kuzifunika mechi zote
Young Africans msimu uliopita ilifanya vizuri sana tofauti na matazamio ya wengi na kufika fainali ya confederation Africa na kukosa kombe kikanuni na zaidi ikawa Kwenye vilabu bora 5 vya afrika pamoja na mamelodi , vilevile ni mabingwa watetezi Tanzania.
Mamelodi walibeba kombe la afl na kufika nusu fainali ya cafcl .
Vilevile ndiyo timu iliyo na wachezaji 9 timu ya bafana bafana iliyoshika nafasi ya 3 afcon na ni mabingwa watetezi wa ligi ya afrika kusini .
Hizi timu zinacheza soka ya kuvutia .
 
Sasa unachobisha nini. Fuatilia hotuba ya Mh raisi akiwa na kina GSM na wanayanga kuhusu kumpa moyo aendelee kuwekeza.
Ccm ni mlezi wa team zote mkuu.... that's y inajenga viwanja....
 
Back
Top Bottom