Times FM: Asilimia 90 ya Watanzania wanaifuatilia Yanga tu

Times FM: Asilimia 90 ya Watanzania wanaifuatilia Yanga tu

Young Africans msimu uliopita ilifanya vizuri sana tofauti na matazamio ya wengi na kufika fainali ya confederation Africa na kukosa kombe kikanuni na zaidi ikawa Kwenye vilabu bora 5 vya afrika pamoja na mamelodi , vilevile ni mabingwa watetezi Tanzania.
Mamelodi walibeba kombe la afl na kufika nusu fainali ya cafcl .
Vilevile ndiyo timu iliyo na wachezaji 9 timu ya bafana bafana iliyoshika nafasi ya 3 afcon na ni mabingwa watetezi wa ligi ya afrika kusini .
Hizi timu zinacheza soka ya kuvutia .
Daaah moto utawaka
 
Yaaah mkuu Yanga ni timu ya matajiri
Pangu pakavu ni matajiri 😂😂😂

Kataeni sasa ujinga wa kudharirishwa kwa kuingizwa kutazama bure mechi ya CAFCL,

NBCPL ndio inafaa muwe mnaingizwa kutazama bure, sawa we 🐸!!
 
Pangu pakavu ni matajiri [emoji23][emoji23][emoji23]

Kataeni sasa ujinga wa kudharirishwa kwa kuingizwa kutazama bure mechi ya CAFCL,

NBCPL ndio inafaa muwe mnaingizwa kutazama bure, sawa we [emoji196]!!
GSM ni muarabu mkuu.....sio kanjibhai bahili
 
Ni mpumbavu tu na lofa ndiye anayeweza kusema hivi.
Uwanja wa ccm kirumba...... uwanja wa jamhuri .....uwanja wa Benjamin mkapa ......na uwanja wa Samia utaojengwa Arusha city ...vyote vinajengwa na ccm

Note that .....sio nchi zote zenye miundombinu mizuri kama bongo
 
Back
Top Bottom