CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Nipongeze hewa? Lini CCM wamejenga viwanja? Hivyo unavyosikia vina majina ya CCM huo ni uporajaji wa mali za umma uliofanywa na CCM baada 'kurududishwa' kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa. Mfano Mkwakwani Stadium ya Tanga zamani ukiitwa Municipal Stadium,ulikuwa unamilikiwa na Manispaa ya mji wa Tanga. Sasa unataka nipongeze uporaji uliofanywa na hiyo CCM yako? Any way tuyaache inawezekana ulikuwa bado kuzaliwa,umezaliwa ukikuta viwanja hivyo vinaitwa kwa majina ya CCM.Hapana mkuu Mimi sio kada....lakn lazima tupongeze...then tukosoe
Wewe umejinasibu kuwa mtaalamu wa kufanya research,basi tafiti kwanza juu ya hilo.