OwkWeka research methodology tuone ulivyoendesha utafiti wako
Hii inaonyesha Yanga Wana big fans engagement than any football team in TanzaniaWanazo sababu ya kuyasema hayo maana kwenye mechi zao mbona kunakua na mapengo ya watazamaji, week end hii wana mechi kubwa dhidi ya mamelodi ndo kwanza jukwaa la mzunguko wanaingizwa bure 90% inakujaje hapo!!!
Timu ya ccm hiyo, mafanikio yake yanawezeshwa na chama kama kulipiwa viingilio bure halafu mlipaji apate vifavour favour kwenye biashara n.kYaaah mkuu...that's ndo timu yenye mafanikio zaidi bongo ....bila ushirikina
Sasa unachobisha nini. Fuatilia hotuba ya Mh raisi akiwa na kina GSM na wanayanga kuhusu kumpa moyo aendelee kuwekeza.Unprofessional.....hakuna clear correlation na hicho
kwa hiyo?Yanga wanawafuatiliaji weng
Weka questionnaire tuone maswaliOwk
Kwenye sampling design..in data collection....imetumika purposive sampling design.... where by a targeted population where visited basing on their special xtics they had eg education about football...age
Data collection methods ..... involved questionnaire..., observation.....and interview
Kila msimu unapoisha TFF hutoa takwimu wa timu ipi inayoongoza kuingiza mashabiki kwenye mechi zao pamoja na mapato,labda unaizungumzia timu yako mbumbumbu.Ukiona timu inaruhusu mashabiki kuingia bure ujue haina mashabiki wa kutosha wenye uhakika wa milo miwili.
Endeleeni tu kujilisha upepo kwa sifa za kijingaKivpi mkuu
Young Africans msimu uliopita ilifanya vizuri sana tofauti na matazamio ya wengi na kufika fainali ya confederation Africa na kukosa kombe kikanuni na zaidi ikawa Kwenye vilabu bora 5 vya afrika pamoja na mamelodi , vilevile ni mabingwa watetezi Tanzania.Mkuu unahisi Nini kilichofanya mechi hii kuzifunika mechi zote