Hii ni hatari na nusu๐จ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฑ
View attachment 3366775
Israel imetumia miaka mingi kujiandaa kwa shambulio dhidi ya maeneo ya nyuklia na makombora ya Iran, ikiwa ni pamoja na kuingiza silaha na majeshi ya vikosi maalum kwa siri ndani ya nchi hiyo, kwa mujibu wa afisa wa usalama wa Israel.
Wakala wa Mossad wanaripotiwa kuanzisha kituo cha ndege zisizo na rubani karibu na Tehran, ambacho kilitumika kushambulia mitambo ya kurusha makombora iliyokuwa imeelekezwa Israel.
Mifumo ya silaha zenye usahihi mkubwa iliingizwa kwa siri ili kuzima ulinzi wa anga wa Iran, hivyo kutoa ubora wa hewa kwa ndege za kivita za Israel.
Vikosi vya wanajeshi maalum pia waliweka makombora karibu na maeneo ya ulinzi wa anga katikati mwa Iran, wakifanya operesheni bila kugundulika.
Chanzo: Times of Israel
๐จ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฑ

Yaani na wewe na akili zako umeamini hii habari๐จ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฑ

SMUGGLING PRECISION WEAPON SYSTEM AND COMANDO INTO A COUNTRY, HII ILIFANYIKA KWA URUSI JUZI KATI TOFAUTI NIKUWA UKRAINE YENYEWE ILINUNUA DRONE HUKO HUKO URUSI๐จ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฑ
View attachment 3366775
Israel imetumia miaka mingi kujiandaa kwa shambulio dhidi ya maeneo ya nyuklia na makombora ya Iran, ikiwa ni pamoja na kuingiza silaha na majeshi ya vikosi maalum kwa siri ndani ya nchi hiyo, kwa mujibu wa afisa wa usalama wa Israel.
Wakala wa Mossad wanaripotiwa kuanzisha kituo cha ndege zisizo na rubani karibu na Tehran, ambacho kilitumika kushambulia mitambo ya kurusha makombora iliyokuwa imeelekezwa Israel.
Mifumo ya silaha zenye usahihi mkubwa iliingizwa kwa siri ili kuzima ulinzi wa anga wa Iran, hivyo kutoa ubora wa hewa kwa ndege za kivita za Israel.
Vikosi vya wanajeshi maalum pia waliweka makombora karibu na maeneo ya ulinzi wa anga katikati mwa Iran, wakifanya operesheni bila kugundulika.
Chanzo: Times of Israel
Mkuu, ni 107 tKule nchi ya manyani deni limefkia tilion100+
Huku sehemu kubwa pesa zikitumika kujiremba na kununua majumba dubai๐๐
Kwisha kabisaa๐จ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฑ
View attachment 3366775
Israel imetumia miaka mingi kujiandaa kwa shambulio dhidi ya maeneo ya nyuklia na makombora ya Iran, ikiwa ni pamoja na kuingiza silaha na majeshi ya vikosi maalum kwa siri ndani ya nchi hiyo, kwa mujibu wa afisa wa usalama wa Israel.
Wakala wa Mossad wanaripotiwa kuanzisha kituo cha ndege zisizo na rubani karibu na Tehran, ambacho kilitumika kushambulia mitambo ya kurusha makombora iliyokuwa imeelekezwa Israel.
Mifumo ya silaha zenye usahihi mkubwa iliingizwa kwa siri ili kuzima ulinzi wa anga wa Iran, hivyo kutoa ubora wa hewa kwa ndege za kivita za Israel.
Vikosi vya wanajeshi maalum pia waliweka makombora karibu na maeneo ya ulinzi wa anga katikati mwa Iran, wakifanya operesheni bila kugundulika.
Chanzo: Times of Israel
Sasa kenge wamesema basi imetosha ni no reform no electionKule nchi ya manyani deni limefkia tilion100+
Huku sehemu kubwa pesa zikitumika kujiremba na kununua majumba dubai๐๐
Mhh kama yaliyofanyika kule urusi, naona ukrein alikopy huko.๐จ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฑ
View attachment 3366775
Israel imetumia miaka mingi kujiandaa kwa shambulio dhidi ya maeneo ya nyuklia na makombora ya Iran, ikiwa ni pamoja na kuingiza silaha na majeshi ya vikosi maalum kwa siri ndani ya nchi hiyo, kwa mujibu wa afisa wa usalama wa Israel.
Wakala wa Mossad wanaripotiwa kuanzisha kituo cha ndege zisizo na rubani karibu na Tehran, ambacho kilitumika kushambulia mitambo ya kurusha makombora iliyokuwa imeelekezwa Israel.
Mifumo ya silaha zenye usahihi mkubwa iliingizwa kwa siri ili kuzima ulinzi wa anga wa Iran, hivyo kutoa ubora wa hewa kwa ndege za kivita za Israel.
Vikosi vya wanajeshi maalum pia waliweka makombora karibu na maeneo ya ulinzi wa anga katikati mwa Iran, wakifanya operesheni bila kugundulika.
Chanzo: Times of Israel
Aliyekopi ukraine au israel?..maana ukraine ndiyo kaanza itumiaMhh kama yaliyofanyika kule urusi, naona ukrein alikopy huko.
Ila mhh inafikirirsha