Times of Isarael: Israel Ilijenga kituo cha drones ndani ya Iran

Kwa nini nisiamini? Ni jeshi gani linaweza kuua Mkuu wa Majeshi, Katibu wa Baraza la Usalama, Chief of Staff na Wanasayansi wa nuclear kwa wakati mmoja.

Unless uniambie hata hao hawajauliwa
Hakuna mkuu wa majeshi aliuliwa isipokuwa amauliwa mkuu wa kitengo cha irgc
 
🚨🇮🇷🇮🇱
View attachment 3366775
Israel imetumia miaka mingi kujiandaa kwa shambulio dhidi ya maeneo ya nyuklia na makombora ya Iran, ikiwa ni pamoja na kuingiza silaha na majeshi ya vikosi maalum kwa siri ndani ya nchi hiyo, kwa mujibu wa afisa wa usalama wa Israel.

Wakala wa Mossad wanaripotiwa kuanzisha kituo cha ndege zisizo na rubani karibu na Tehran, ambacho kilitumika kushambulia mitambo ya kurusha makombora iliyokuwa imeelekezwa Israel.

Mifumo ya silaha zenye usahihi mkubwa iliingizwa kwa siri ili kuzima ulinzi wa anga wa Iran, hivyo kutoa ubora wa hewa kwa ndege za kivita za Israel.

Vikosi vya wanajeshi maalum pia waliweka makombora karibu na maeneo ya ulinzi wa anga katikati mwa Iran, wakifanya operesheni bila kugundulika.

Chanzo: Times of Israel

Sasa si watakuwa wanajua hata anapolala Ayatollah!
 
S

Sasa ndio naelewq ile ajali fake ya helicopter iliyomchinja Rais wa Iran
 
Back
Top Bottom