Times of Isarael: Israel Ilijenga kituo cha drones ndani ya Iran

Usije shangaa ayatollah anavalishwaga pampaz daily na mossad ye akidhani ni wairani wenzake๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
Huyu kumtungua ni dakika yeyote wakitaka
 
Kwa nini nisiamini? Ni jeshi gani linaweza kuua Mkuu wa Majeshi, Katibu wa Baraza la Usalama, Chief of Staff na Wanasayansi wa nuclear kwa wakati mmoja.

Unless uniambie hata hao hawajauliwa
Hawezi kukuelewa na wasichokijua wamatumbi wengi ni kuwa ndani ya Iran Kuna wayahudi wengi ndiyo wanatoa taharifa zote kwa nchi yao ya Israel
 
Si Kuna watu wakisema Israel hawezi kuigusa Iran?. Leo mbona hawasemi Tena hizo kauli
 
Hawezi kukuelewa na wasichokijua wamatumbi wengi ni kuwa ndani ya Iran Kuna wayahudi wengi ndiyo wanatoa taharifa zote kwa nchi yao ya Israel
Tena raia wa kuzaliwa kwa vizaz kadhaa. Yaani kupigana na watu wenye kariba ya waizrael unatakiwa uwe makini sawa na kufanya upasuaji wa kutoa risasi kichwani au karbu na moyo.

Yaan kubali uishi nayo au uitoe urisk uhai.
 
Jewish community hapa Arusha inatambulika rasmi jaribu ku-google utajua hilo. Nakuwekea link hapa. Ila pia ujue jews hawawezi kukaa wanapiga parapanda kuwa wako sehemu fulani Tanzania ili ukawalipue. Ila ujue tu hata system yenu iko infiltrated na jews sympathizers

Arusha - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Tena raia wa kuzaliwa kwa vizaz kadhaa. Yaani kupigana na watu wenye kariba ya waizrael unatakiwa uwe makini sawa na kufanya upasuaji wa kutoa risasi kichwani au karbu na moyo.

Yaan kubali uishi nayo au uitoe urisk uhai.
Kabisa mkuu
 
Hivi sisi miaka 60 ya kujitawala je tuna walau kombola moja la kutengeneza wenyewe la Surface-to-surface air missile??

Kwa nini?
Tunatengeneza. sera za kutawala milele. That is all what we know.
 
Wakati huo Wairan walikuwa wamelala tu? Wanakula tende?
 
ISRAIL wahuni sana,wanavizia WAIRANI wakiwa MISIKITINI[SWALA 5] wao ndo wanafanya yao,,,,ikipigwa adhana wanajeshi wote ni MISIKITI,pamoja raia wote,,,,wakiotoka misikitini jamaa wameshachimbia vitu vyao na waisrail unakuta wamevaa kiraia hawana noma,,,,,ikpigwa adhana ya pili ni ivovo,,,,,,wakati wa mfungo ndo kabisaa!!!!,,,...hii style ndo walitumia JWTZ kufanikiwa mkumwondoa madarani rais aliyipindua sekali visiwa vinavopakana na ushelisheli,,,,sikumbuki rais sijui alikuwa anaitwa azuani,,,basi ile wameingia sala ya alfajir,,,jiji lao lote nilikuwa limependeza kwa sare za JWTZ,,yule raisi alitoroshwa na ufaransa
 
Ni habari kwasababu hata Iran wenyewe wameonyesha hiyo kitu.

Al Jezeera nao wanadanganya?

Kama hujafuatilia kitu au taarifa huna haja ya kubwabwaja.
Yaani na wewe na akili zako umeamini hii habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ