Times of Isarael: Israel Ilijenga kituo cha drones ndani ya Iran

Nimeona hii kitu Hadi nimeshangaa.

Lakini Kwa Ukubwa wa Iran hii inawezekana.

On top of that yaani Israel ilikuwa inajua karibu Kila kitu kuhusu Iran Sasa Kwa Hali hii ni ngumu sana kupambana
 
Nimeona hii kitu Hadi nimeshangaa.

Lakini Kwa Ukubwa wa Iran hii inawezekana.

On top of that yaani Israel ilikuwa inajua karibu Kila kitu kuhusu Iran Sasa Kwa Hali hii ni ngumu sana kupambana
Wanajua hadi alipo Ayatollah Ali Khamenei, suala la kumdungua ni muda wowote tu.

Jana wamempiga Mkuu wa Majeshi ambaye alimbadili yule wa awali aliyeuliwa siku 5 nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ