Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Hapo jana timu aliyotoka kocha wa Yanga Ts Galaxy imeibuka na ushindi wa goli 1 kwa 3 ikiwa ugenini dhidi ya Sekhukhune ambayo ipo nafasi ya 7 kwenye msimamo wa League.
Timu hiyo imeonja ushindi wa kwanza kwa msimu huu baada ya kocha wao wa zamani kuondoka.
Kocha huyo mpya wa Yanga jana ameanza mechi yake ya kwanza na timu yake mpya kwa kupigwa kipigo cha mbwa mwizi ,Timu hiyo ilipokea kwa mikono miwili magoli mawili toka kwa Al Hilal ya Sudan.
Upepo unakoelekea kocha huyo mpya anaonekana kuendeleza vizuri pale alipoishia kwenye timu aliyotoka.
Daima Mbele nyuma mwiko.