Timu bora hutoa wachezaji bora, Yanga yaongoza kwa kutoa wachezaji bora timu za Taifa

Timu bora hutoa wachezaji bora, Yanga yaongoza kwa kutoa wachezaji bora timu za Taifa

Nchi zenyewe sasa hahahaa. Hata zalan fc imetoa wachezaji saba kwenye timu ya taofa ya sudan kusini.
Phiri anatokea Zambia mbona hajaitwa lakini kuitwa kwa Chama mmeona ni jambo lenu la kujivunia na nchi ndio hiyo hiyo.
 
Nchi zenyewe sasa hahahaa. Hata zalan fc imetoa wachezaji saba kwenye timu ya taofa ya sudan kusini.
Taja wachezaji wako walioitwa na nchi zao ili tufunge mjadala kama ujatutajia burundi, na malawi alafu ulinganishe na mataifa yote ambayo yanga imetoa wachezaji
 
Wote hao ukiwapeleka Senegal hawachukuliwi hatammoja

Kwenye loser cup mbona hawachaguliwi wachezaji bora Kama Kaka zenu wanavyo chaguliwa huko mabingwani?
Hapo waliingia chaka mbaya, kwa kipi Sakho alichofanya?
 
Mchezaji mmoja anayeitwa kwenye timu ya taifa namba moja barani africa na namba 18 dunia nzima, ni zaidi ya wachezaji wote wa utopolo walioitwa kwenye timu zao..
Kuitwa si tatzo je? Atacheza
 
Kwa maana hiyo Yanga ndiyo timu bora kwa sasa Afrika Mashariki na Kati kwakuwa ndio timu iliyoongoza kwa kutoa wachezaji wengi katika timu za taifa
Hiyo ni kwa mujibu wa wewe, ila kwa mujibu wa CAF, Yanga hata 30 bora haimo

1679472115548.png
 
Jamani twendeni tukampe Chama kura za mchezaji bora wa week 5, bado masaa machache:

 
Timu bora zooote ziko klabu bingwa,acha kujitoa ufahamu
 
Back
Top Bottom