Phiri anatokea Zambia mbona hajaitwa lakini kuitwa kwa Chama mmeona ni jambo lenu la kujivunia na nchi ndio hiyo hiyo.Nchi zenyewe sasa hahahaa. Hata zalan fc imetoa wachezaji saba kwenye timu ya taofa ya sudan kusini.
ndio kwani wee hujui?Kwamba nyie ni mabingwa, na wao ni mabingwa zaidi yenu?
Taja wachezaji wako walioitwa na nchi zao ili tufunge mjadala kama ujatutajia burundi, na malawi alafu ulinganishe na mataifa yote ambayo yanga imetoa wachezajiNchi zenyewe sasa hahahaa. Hata zalan fc imetoa wachezaji saba kwenye timu ya taofa ya sudan kusini.
Hapo waliingia chaka mbaya, kwa kipi Sakho alichofanya?Wote hao ukiwapeleka Senegal hawachukuliwi hatammoja
Kwenye loser cup mbona hawachaguliwi wachezaji bora Kama Kaka zenu wanavyo chaguliwa huko mabingwani?
Kuitwa si tatzo je? AtachezaMchezaji mmoja anayeitwa kwenye timu ya taifa namba moja barani africa na namba 18 dunia nzima, ni zaidi ya wachezaji wote wa utopolo walioitwa kwenye timu zao..
Hiyo ni kwa mujibu wa wewe, ila kwa mujibu wa CAF, Yanga hata 30 bora haimoKwa maana hiyo Yanga ndiyo timu bora kwa sasa Afrika Mashariki na Kati kwakuwa ndio timu iliyoongoza kwa kutoa wachezaji wengi katika timu za taifa
Una uhakika wachezaji wako wote watacheza pamoja na ukweli kwamba wanacheza kwenye timu za kawaida kama sio mbovuKuitwa si tatzo je? Atacheza
😅😅😅😅hataaibu huna unahoji swali hili..Hapo waliingia chaka mbaya, kwa kipi Sakho alichofanya?