Timu gani ya mpira unaichukia sana? Na kwa nini?

Mi shabiki wa man u na realmadrid kibongobongo nazpenda tm zote icpokuwa yanga ciipendi hadi naumwa alafu cjui kwann
 
Yanga, naichukia sababu ya rangi ya jez zao
 
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe cku zote wala sichangai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…