koroberaga rakuu
Senior Member
- Jan 4, 2017
- 113
- 65
Siipendi simba kwa sababu manara anadai wanakikosi cha billions tatu lkn wanafungwa na timu iko pungufu "warrior"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chelsea yanga na barca zikifungwa marafiki zangu wanazima simuMan u
R.Madrid na Simba
Zikifungwa huwa napata usingizi murua kabisa.
Pole sana mkuu.Siku zote ukipata mafanikio maadui wanakua wengi sana..Huwezi amini kila siku naomba Manchester city wafungwe
Nashabikia Yanga&CityNashabikia Man City
Naichukia sana Yanga...sina roho ya chuki kwa wachezaji ila silipendi neno YANGA
Yanga
Hapana ila siipendi Yanga, timu yoyote ikicheza na Yanga mm nashingilia hiyo nyengine
Hujakosea na aliyenifanya nisiipende ni mourinho hasa baada ya kuondoka raniel 2005, jamaa alikuwa na majigambo sanawewe ni Man Utd