Timu gani ya mpira unaichukia sana? Na kwa nini?

Inafurahisha kuona kuwa Liverpool FC haichukiwi na maadui zake pamoja na kuwapatia dozi nzito nzito
Unaichukiaje Liverpool FC kwa mfano?? Mm ndipo inaponifurahisha, kipindi kile Man U inatamba na Ferguson wao ikikutana tu na Liverpool, kichapo!
 
Siipendi Simba, mashabiki na viongozi wao ni wakorofi na wanavurugu sana

Man U, kwa kujiita mashetani wekundu
 
BARCELONA ni wabaguzi wa rangi. Washenzi wakubwa.

Sio kweli mkuu__utakuwa umesikiliza radio ya maboksi

Unaweza kuleta kithibitisho hicho unachokiongea???

Au baada ya kumsikia DADA de lima a.k.a kitambi akiwaponda bwana zake/Barce!!!!
 
Yanga siipendi ila Brazil ndio ugonjwa wangu kwahiyo naona mm issue sio rangi ya jezi.

Brazil na israel sizipendi + young africans

Argentina,Barcelona Azam, and Pamba africans nazipenda mno mno mno mno.


Kila lakheri ARGENTINA
 
Mi napenda timu zote maana mikeka inategemea timu
 
simba
yanga.....ni sumu ya maendeleo ya soka letu.....
brazil kwa sababu ina mashabiki wengi dunian kila mtu brazil brazil brazil (sana sana miaka ya nyuma) mimi sipendi kabisa natamani kupasuka kwa jazba..
 
Eto'o, umititi

Mimi ni fan wa barce__unachokisema hakina ukweli wowote__nimekuomba ushahidi/kithibitisho unaniletea majina___kitambi naye alikuja na ujuaji wake eti barce hiwapendi brazil players. Ni upumbavu usiokuwa na maana.
 
Man U na Simba...sio team tu..mpaka mashabiki wao nawachukia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…