Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Naona wew ni mfia team. Huwezi kuelewa.Mimi ni fan wa barce__unachokisema hakina ukweli wowote__nimekuomba ushahidi/kithibitisho unaniletea majina___kitambi naye alikuja na ujuaji wake eti barce hiwapendi brazil players. Ni upumbavu usiokuwa na maana.
Naona wew ni mfia team. Huwezi kuelewa.
Simba na Yanga kukesha kupiga majungu kwenye vijiwe vya kahawa!
Mbao united ndo kiboko yao!!Bora hata ya Azam, Stand United and Singida United