Timu gani ya mpira unaichukia sana? Na kwa nini?

Timu gani ya mpira unaichukia sana? Na kwa nini?

Mimi ni fan wa barce__unachokisema hakina ukweli wowote__nimekuomba ushahidi/kithibitisho unaniletea majina___kitambi naye alikuja na ujuaji wake eti barce hiwapendi brazil players. Ni upumbavu usiokuwa na maana.
Naona wew ni mfia team. Huwezi kuelewa.
 
Aseee siipendi manure united [emoji35] na real yani siipendi hii mitim ya hovyo sijapata kuona, shuwain
 
Simba na Yanga. Ni matimu ya hovyo kupata kutokea duniani. Yana umri zaidi ya miaka 50 HAYANA HATA UWANJA...bure kabisa

Nashangaa bado watu wanye akili wanayashabikia
 
Mimi ni
Simba
Arsenal
Barcelona

Nazichukia,
Yanga
Man u
Real Madrid
 
Mimi nimekereka na mleta uzi maana kiswahili chake kibovu mno.
 
Mimi nimekereka na mleta uzi maana kiswahili chake kibovu mno.
 
Back
Top Bottom