Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mimi huwa napenda sana kusikiliza maoni ya watu wengine! Ila siyo wale mbumbumbu ambao hata hawajielewi! Leo timu ikifungwa utawasikia hatuwataki wachezaji fulani fulani! Mara hatumtaki kocha fulani! Mara hatumtaki kiongozi fulani!!
Halafu kesho timu ikishinda, kelele zote kwisha! Na badala yake wanaanza tena kuwasifia watu wale wale waliotuambia hawawataki! Sasa huu kama siyo umbumbumbu, ni nini!!
Halafu kesho timu ikishinda, kelele zote kwisha! Na badala yake wanaanza tena kuwasifia watu wale wale waliotuambia hawawataki! Sasa huu kama siyo umbumbumbu, ni nini!!