Timu imejaa maveterani 😅halafu Jumba bovu kaangushiwa Master Gamond

Timu imejaa maveterani 😅halafu Jumba bovu kaangushiwa Master Gamond

Unaongeaa apoo ukiwa kwa shemeji yako umeshika remote ya tv baada ya kushiba makande aliyopika shemeji yako..unatema pumba tu saivi
Wengine shemeji wanawatafuta, Mimi ninae na natamba nae
 
Nilishasema tena uku,Makolo vipigo mfululizo vikianza hatutaki kusikia tena story za hatumtaki Mangungu atuachie timu yetu..
 
Ukiachilia mbali matokeo ya Azam na Tabora.

Sijaona timu yoyote iliyocheza mpira mwingi wa nguvu hali na kushambulia muda mwingi kuizidi Yanga.

Hata huyo Azam aliyeshinda moja muda mwingi alikuwa anashambuliwa na kupelekewa moto as if wao ndiyo wako pungufu.

Sasa propaganda zenu za uzee bakini nazo ukoloni huko.
Mimi napenda waamini Yanga mbovu, wazee ili siku ya Derby wafunguke vizuri wapokee DHAHAMA. Nilitamani hivi vipigo vya Azam na Tabora tungevipata wakati mechi inayofuata ni MAKOLO.
 
Mimi napenda waamini Yanga mbovu, wazee ili siku ya Derby wafunguke vizuri wapokee DHAHAMA. Nilitamani hivi vipigo vya Azam na Tabora tungevipata wakati mechi inayofuata ni MAKOLO.
Mnadhani Kila siku ni mchana, na usiku upo. Huwezi kuifunga Simba mara 5 mfululizo, uwezo huo hamna.
Hii ya juzi mshukuruni kayoko ndo katufunga.
 
Mimi simba ila sijaufurahia uamuzi wa Yanga kumfukuza gamondi

For what reason?
Ghagla mmekuwa waungwana hivyo ? Hatukuwashauri mkifukuza kocha wenu .....si mtulizane tu ? Haiwahusuuuu
 
Ohooo
 

Attachments

  • Screenshot_20241116-211325.png
    Screenshot_20241116-211325.png
    625.2 KB · Views: 1
Kwani bado hajapanda [emoji3575]? Woiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom