Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Kombe la dunia limefikia tamati.
Ilikuwa rahisi kukisia matokeo ya mechi nyingi na kuona timu ambazo hazitafika mbali. Ili timu yoyote ibebe kombe la dunia ni lazima wachezaji hawa wawepo:
1. Mchezaji anayeweza kubadilisha matokeo wakati wowote
2022 Argentina - Messi
2018 France - Mbappe
2014 Germany - Muller
2010 Spain - Villa
2006 Italy - Pirlo
2002 Brazil - de Lima
1998- France - Zidane
2. Mchezaji mgumu na muhuni anayetawala dimba la katikati
2022 Argentina - de Paul
2018 France - Kante
2014 Germany - Bastian
2010 Spain - Xavi
2006 Italy - Gatusso
2002 Brazil - Gilberto
1998- France - Deschamps
3. Beki mkatili sana anayeweza kuzuia hatari wakati wowote
2022 Argentina - Otamendi
2018 France - Varane
2014 Germany - Hummels
2010 Spain - Puyol
2006 Italy - Cannavaro
2002 Brazil - Lucio
1998- France - Thuram
4. Golikipa anayeweza kuokoa jahazi pale mabeki wanapozidiwa mbinu.
2022 Argentina - Martinez
2018 France - Lloris
2014 Germany - Neuer
2010 Spain - Casilas
2006 Italy - Buffon
2002 Brazil - Marcos
1998- France - Barthez
Sasa ukiangalia Spain na Germany walikuwa dhaifu karibu maeneo yote maana walileta watoto, ubelgiji walileta wazee waliochoka, Brazil wakajaza wavivu na mabishoo. Portugal hawakuwa na bahati kama ilivyo kwa waingereza wanaochezea mpira mdomoni.
Croatia na Morocco walikuwa na safu butu za ushambuliaji huku waholanzi wao kama kawaida hawana bahati. Japan walipambana na udhaifu wao kwenye penati ukawaangusha huku Korea kusini wao walikosa kocha ambaye ni tactical. Uswisi walipoteana kwa kukosa nidhamu siku walipocheza na ureno.
Tukutane 2026 panapo majaliwa.