Timu inayochukua Kombe la Dunia ni lazima iwe na wachezaji hawa

Good analysis...
 
sikufurahishwa namna kocha alivyomtoa Di Maria ili Messi aoenekane, madhara yake wakayaona
Kocha amekuwa na makosa mara nyingi alipofanya sub hata mechi ya uholanzi na Australia ilikuwa hivyo hivyo.

Tatizo la di Maria ni kwamba hakabi ndio maana alimuingiza acuna ili akakabe maana walikuwa wanaongoza kwa 2 bila. Sidhani kama lengo ilikuwa kumfanya Messi aonekane.
 
Unaweza kuwa na wachaezaji wote hao uliowataja, lakini refa akaamua nani ashinde.
Kwa mfano refa alivyowasidia makolo aka sembe fc kumfunga geita gold goli tano za mchongo
Sikuangalia mechi ya simba ila kwenye kombe la dunia hakuna hayo maana var ipo.
 
Jana nimeona Ottamendi kacheza kistaarabu Sana Mana hata ile move ya koloumuane kamzuia kisoka ilikuwa amlambe bunda la kuvunja ugoko na hii ndio michezo yake na kulizua ni KAWAIDA Sana kwake.
Angemgusa kidogo tu refa angefunika mkwaju wa penati.
 
Bro sio laxima wote tuwe wachambuzi🤣🤣🤣🤣
 
Lloris kwenye penalty ni kivuli
2018 wangeenda penalty wasingechukua

Kwenye midfildi
De paul na gattuso ndio wahuni
Hao wengine hawana uhuni zaidi ya kucheza soka safi
 
Rodrigo De Paul🙌🙌🙌.Huyu Mwamba mda wote anachakarika!
Bila kumsahau Leandro Peredes.
 
huko kusubiri muda mrefu ndio kunalifanya liwe tamu.
 
France wapo vizuri, lakini 2026 hatujui nchi zingine zitakuja kivipi; tunaweza kushangazwa pale France na Argentina watakapotolewa kabla ya Nusu Fainali.

Wajerumani walichofanyiwa 2018 na 2022 imetufundisha kwamba World Cup haihitaji mazoea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…