Timu inayofungwa 3-0 inakuzaje utalii nchini?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
TANAPA kuweni makini na vitendo vinavyokinzana na jitihada zetu za kuvutia utalii nchini.

Timu inayoandika kwenye jezi yake "visit Tanzania, then inafungwa bao 3-0 kwenye mechi inayotazamwa dunia nzima kunapunguza utalii wetu. Timu ameandika Visit Tanzania, then unanunua waamuzi wachezeshe unavyotaka wewe kwenye mechi ambayo inaonekana dunia nzima kunapunguza utalii nchini.

Tuwe makini na Nia njema za timu zetu kwenye kuvutia watalii. Timu inayofungwa 5-0 inavutiaje utalii?

Badala ya visit Tanzania iwe Visit mo Arena
 
kwani wale wa visit zanzibar na kilimanjaro walikuwa wanatangaza utalii gani
kabla na baada ya kipigo cha nje ndani

D812B274-727F-4C91-BBC4-B3A5BC3DF328.png
 
kwani wale wa visit zanzibar na kilimanjaro walikuwa wanatangaza utalii gani
kabla na baada ya kipigo cha nje ndani

View attachment 2159838
Simba imesababisha Tanzania kuingiza timu 4 kwenye mashindano ya CAF ambazo zote 4 zimetolewa mapema kwa kukosa ubora ikiwemo Simba yenyewe iliyofurushwa na Galaxy mapema kabisa. Hii maana yake ni kuwa Simba inatafuta 4 za kucheza kwa njia haramu (kununua mechi kwa Mkapa) hivyo kusababisha Tanzania kupeleka timu 4 ambazo hazina ubora unaotakiwa kwenye mashindano ya caf. TFF na Serikali muwe macho na vitendo vya timu zetu zinazotumia mbinu haramu kupata matokeo kwenye ligi au mechi za kimataifa maana wanatuchafua wote na hasa utalii wetu. Haiwezekeni timu 4 zote zitolewe hATUA za awali vile,

Wote tunaona, Simba imetolewa na Galaxy mapema champions na kuaangukia confederations, ona hata huko nako bado anasuasua na kulazimisha matokeo kwenye uwanja wa Mkapa wasiwasi kabisa. Wallah tunajidanganya sisi wenyewe na tutachangia kuua hata utalii wetu kwasababu mechi zote na namna zinavyochezeshwa zinaonekana dunia nzima. Wacha merit iamue kupata timu 4 au 2 za kushiriki mashindano ya caf sio janjajanja hizi,
 
Ulitaka wanaoogelea kwenye vyura ndo watangaze utalii?
Utaona, US Gendemarie itakujafanyiwa kila aina ya baya (covid, marefa, pulizapuliza) ili Simba ishinde na kujifanya inatutafutia timu 4 za kushiriki caf mwakani, timu ambazo hazitakuwa na ubora huo., yaani garbage in garbage out.
 
Simba imesababisha Tanzania kuingiza timu 4 kwenye mashindano ya CAF ambazo zote 4 zimetolewa mapema kwa kukosa ubora ikiwemo Simba yenyewe iliyofurushwa na Galaxy mapema kabisa. Hii maana yake ni kuwa Simba inatafuta 4 za kucheza kwa njia haramu (kununua mechi kwa Mkapa) hivyo kusababisha Tanzania kupeleka timu 4 ambazo hazina ubora unaotakiwa kwenye mashindano ya caf. TFF na Serikali muwe macho na vitendo vya timu zetu zinazotumia mbinu haramu kupata matokeo kwenye ligi au mechi za kimataifa maana wanatuchafua wote na hasa utalii wetu. Haiwezekeni timu 4 zote zitolewe hATUA za awali vile,

Wote tunaona, Simba imetolewa na Galaxy mapema champions na kuaangukia confederations, ona hata huko nako bado anasuasua na kulazimisha matokeo kwenye uwanja wa Mkapa wasiwasi kabisa. Wallah tunajidanganya sisi wenyewe na tutachangia kuua hata utalii wetu kwasababu mechi zote na namna zinavyochezeshwa zinaonekana dunia nzima. Wacha merit iamue kupata timu 4 au 2 za kushiriki mashindano ya caf sio janjajanja hizi,
umeandika mapovu matupu ila kama ni rahisi kununua mechi kwa mkapa na nyie uto mngenunua dhidi ya rivers united kwa lupaso
 
Na Kama Ni Rahisi Kununua Mechi NBC Premier League Na Nyie Mngenunua Kwa Mbeya City, Kagera Sugar Na Zingine Zinazowafatia.
 
TANAPA kuweni makini na vitendo vinavyokinzana na jitihada zetu za kuvutia utalii nchini.

Timu inayoandika kwenye jezi yake "visit Tanzania, then inafungwa bao 3-0 kwenye mechi inayotazamwa dunia nzima kunapunguza utalii wetu. Timu ameandika Visit Tanzania, then unanunua waamuzi wachezeshe unavyotaka wewe kwenye mechi ambayo inaonekana dunia nzima kunapunguza utalii nchini.

Tuwe makini na Nia njema za timu zetu kwenye kuvutia watalii. Timu inayofungwa 5-0 inavutiaje utalii?

Badala ya visit Tanzania iwe Visit mo Arena
Nakazia .....simbwa waweke neno

Visit moo area[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
TANAPA kuweni makini na vitendo vinavyokinzana na jitihada zetu za kuvutia utalii nchini.

Timu inayoandika kwenye jezi yake "visit Tanzania, then inafungwa bao 3-0 kwenye mechi inayotazamwa dunia nzima kunapunguza utalii wetu. Timu ameandika Visit Tanzania, then unanunua waamuzi wachezeshe unavyotaka wewe kwenye mechi ambayo inaonekana dunia nzima kunapunguza utalii nchini.

Tuwe makini na Nia njema za timu zetu kwenye kuvutia watalii. Timu inayofungwa 5-0 inavutiaje utalii?

Badala ya visit Tanzania iwe Visit mo Arena
Kuna ile timu ilivaa visit Zanzibar mechi mbili tu kampeni ikafa.

Wataalamu wa kampeni za kutangaza Utalii wanasema ile ndio kampeni fupi zaidi katika historia.
 
Kumbe hili la kununua timu na waamuzi naona sasa lipo wazi kabisa..
Na siku wakiingia kavu kama wao lazima waogeshwe goli za kutosha
 
Kwi kabisa mkuu, Makolo wanaihabisha sana nchi yetu.. Mama anatumia jitihada kuitangaza nchi yetu wao wanaifedhesha.. Makolo wapumbavu sana.
Kazi kuonga Marefa tu mpaka wanataka kutolewa makalio dadeq
 
Back
Top Bottom