Timu inayofungwa 3-0 inakuzaje utalii nchini?

Timu inayofungwa 3-0 inakuzaje utalii nchini?

Na Kama Ni Rahisi Kununua Mechi NBC Premier League Na Nyie Mngenunua Kwa Mbeya City, Kagera Sugar Na Zingine Zinazowafatia.
mbona rahisi tu unadhamini ligi na tubilioni 2 baada ya matokeo mazuri ya timu yako hulipi fedha za udhamini kwa timu zilizovaa logo yako
bdae unasitisha mkataba na tiiefueefu
 
Ila kuna la kujifunza
TANAPA msikubali timu kujiandikia ujumbe unaotishia ukuaji wa utalii. Mfano, kila mtu duniani aliona Berkane ilivyonyimwa penati na ilivyonyimwa bao halali na timu iliyovaa Visit Tanzania, Visit Serengeti, nk unadhani ni nani atatuamini na kufunga safari nya kuja kwetu. Anadhani mambo yote hayo yana baraka ya TFF na Serikali na TANAPA
 
message sent, kwanini ununue mechi upate ushindi wa kujidandanya wenyewe kuwa unaweza kumbe huwezi? 3 o'clock
na hizi pia tulinunua kisinda mkubwa

8F259FB2-F5D0-4D78-8B5D-908FCEF930B8.jpeg

215454FE-3B04-4254-A4F8-1E4777F47B2B.jpeg
 
Huna mpya ww, kwao Nyie Makolo hamjawahinkumiminiwa na Yanga BAO 6 bila hata kujifuta na taulo.. kule Misri na Congo hakumiminiwa BAO 6 na mimba juu.. juzi si mlimimibiwa 5 Ila viwili vikamwagikia juujuu/nje.
Kataa bac kama nasema uongo
weka ushahidi bas 😂😂😂😂 punguza makelele na mapovu yako
 
Ulitaka wanaoogelea kwenye vyura ndo watangaze utalii?
TANAPA muwe makini juu ya nani atangaze utalii na vigezo vya kuvaa vivutio vya utalii. Usiruhusu timu yenye wachezaji wanaohitaji kupimwa akili, wenye kadi nyekundu na njano nyingi, inayolalamikiwa ndani na nje ya nchi kupanga matokeo na timu yenye historia ya hivi karibuni ya kufungwa magoli mengi 5-0 ugenini kuruhusiwa kuvaa alama/maandishi za utalii wetu
 
Vibwengo buana
 
Vibwengo buana
Angalia namna simba inavyotutia aibu, hivi wale mashabiki iliyowavalisha T-shirts waliokuwa wanaishangalia Simba kule Benin iliwakusanya lini, iliwapataje na kuwalipa? Mo ananunua matokeo atatuharibia soka letu Tanzania, Tutakuwa na timu bingwa feki, TFF na serikali ingilieni kati tabia hii mbovu kwetu.
 
Yaan madrid kala 4 kwake isiwe habari halafu Simba kupigwa 3 iwe habari kubwa? Vibwengo huku kimataifa tunajua mchezo tunavyo ucheza
 
Back
Top Bottom