Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Concept kubwa ni frequency ya viewers, sio matokeo. Kitendo cha kuwa na uhakika wa kucheza mechi sita za CAF CC kinamvutia mdhamini kutangaza bidhaa zake. Kwa sasa sio mechi sita tena, ni nane sasa jumla. Wadhamini huvutiwa zaidi na kutangaza bidhaa zao kwa kuangalia idadi ya jumla ya viewers, matokeo ya mechi sio sana maana sio interest yao kubwaIkishinda hivi kihalali kabisa kila mtu kama ameona mpira umechezeka kwa sheria zote 17, bila shaka ushindi wa hivi unavutia utalii
We kaka wewe unahitaji maombi upate akili ya kujiongeza. Nchi inaweza kuwa na watu wengi sana lakini makampuni yakaacha kwenda kufanya biashara zao huko hata kama nchi hiyo Ikijitangaza namna gani. Haki za binadamu, utawala wa Sheria na usalama ni vitu muhimu. Unaweza kuwa na viewers wengi uliowaudhi na kuwaboa kiasi kwamba hawataki ku kuona. Hivi kufungwa mabao 5-0, kunyima watu penati na magoli halali, kukanyaga watu makusudi, kumulika watu tochi usoni na kutumia dawa za kuongeza nguvu kwenye mechi kunavutia vipi watu wanaotizama mechi kuja kwenye vivutio vyako? Unahitaji akili mpya. Unaweza kuwa na wateja wengi ukiowakatisha tamaa.Concept kubwa ni frequency ya viewers, sio matokeo. Kitendo cha kuwa na uhakika wa kucheza mechi sita za CAF CC kinamvutia mdhamini kutangaza bidhaa zake. Kwa sasa sio mechi sita tena, ni nane sasa jumla. Wadhamini huvutiwa zaidi na kutangaza bidhaa zao kwa kuangalia idadi ya jumla ya viewers, matokeo ya mechi sio sana maana sio interest yao kubwa
Haya basi utopolo, andeleeni kudumisha usalama wa nchi kwa kutolewa raundi ya awali kila mwaka, huo usalama unaitangaza nchi yetu kwenye utalii. Visit Kilimanjaro and Zanzibar! 😂😂😂.... Lakini USALAMA wao ndio kivutio NAMBA MOJA. polisi, Serikali, tff na wadau wengine wapo lakini wachezaji wanamulikwa na tochi zenye mionzi mibaya na hatari (Lazer) machoni, mtalii atafuata nn. SIMBA NI MIONGONI MWA CHANZO CHA KULETWA VAR
Tunasema kampeni fupi kuwahi kutokeaKuna ile timu ilivaa visit Zanzibar mechi mbili tu kampeni ikafa.
Wataalamu wa kampeni za kutangaza Utalii wanasema ile ndio kampeni fupi zaidi katika historia.
Historia hiyo ishawekwa, kudadadeki...VAR tayari dadadeki
Wewe ndio unahitaji maombi maana unabwabwaja tu pumba. Una ushabiki maandazi kwa kuichukia simba. Kuna mechi nyingi tu simba imepata matokeo ikiwa away lakini akili zako zinakuaminisha kuwa simba huwa haishindi kwa haki. Endelea kubwabwaja lakini simba inasonga mbele na kuitangaza Tanzania.We kaka wewe unahitaji maombi upate akili ya kujiongeza. Nchi inaweza kuwa na watu wengi sana lakini makampuni yakaacha kwenda kufanya biashara zao huko hata kama nchi hiyo Ikijitangaza namna gani. Haki za binadamu, utawala wa Sheria na usalama ni vitu muhimu. Unaweza kuwa na viewers wengi uliowaudhi na kuwaboa kiasi kwamba hawataki ku kuona. Hivi kufungwa mabao 5-0, kunyima watu penati na magoli halali, kukanyaga watu makusudi, kumulika watu tochi usoni na kutumia dawa za kuongeza nguvu kwenye mechi kunavutia vipi watu wanaotizama mechi kuja kwenye vivutio vyako? Unahitaji akili mpya. Unaweza kuwa na wateja wengi ukiowakatisha tamaa.
Kuna watu wanaovutiwa na integrity, kuna wanaovutiwa na utawala wa sheeria wa nchi, kuna wanaovutiwa na demokrasia, kuna wanaovutiwa Na hali ya hewa ya nchi, kuna wanaovutiwa na usalama ndani ya nchi, kuna wanaovutiwa na timu kufuata Sheria 17 za mpira wa miguu, kuna wanaovutiwa na usafi na mpangilio wa miji, kuna wanaovutiwa na mademu wazuri nk. Lakini USALAMA wao ndio kivutio NAMBA MOJA. polisi, Serikali, tff na wadau wengine wapo lakini wachezaji wanamulikwa na tochi zenye mionzi mibaya na hatari (Lazer) machoni, mtalii atafuata nn. SIMBA NI MIONGONI MWA CHANZO CHA KULETWA VAR
Una changanya Na Bahati mbaya, fluke, good luck pamoja. Mfano, goli la Morrison ugenini dhidi ya gedrrndamarie ilikuwa ya ktuttbathta[[ttttttttWewe ndio unahitaji maombi maana unabwabwaja tu pumba. Una ushabiki maandazi kwa kuichukia simba. Kuna mechi nyingi tu simba imepata matokeo ikiwa away lakini akili zako zinakuaminisha kuwa simba huwa haishindi kwa haki. Endelea kubwabwaja lakini simba inasonga mbele na kuitangaza Tanzania.
Simba ikiwa awayUna changanya Na Bahati mbaya, fluke, good luck pamoja. Mfano, goli la Morrison ugenini dhidi ya gedrrndamarie ilikuwa ya ktuttbathta[[tttttttt
Azam, namungo biashara wanacheza mpira uwanjani, wakifunga sawa na wakifungwa sawa tu ni matokeo 3 ya mechi. Lakini kuna timu zinacheza mpira ndani, nje, chini na juu ya uwanja lazima kupata matokeo mazuri. Hebu fikiria timu imevalishwa "vIsit Tanzania" kuvutia watalii waje halafu mwenzetu mmoja anaingia uwanjani na jitochi kuubwa la betri lenye mwanga mkali unaosafiri umbali wa mita 200 kwaajili tu ya kwenda kumulika usoni Washindani wetu ili wapate maluweluwe uwanjani, halafu shabiki huyo anajisifu na kushangiliwa kwa ushujaa wake huo wa kipumbavu. Hiyo ndiyo simba unayoutaka?Simba ikiwa away
Mbabane swallows alifungwa( 4-0), plateu alifungwa , Ud songo draw , vita alifungwa , Jwaneng alifungwa,USGN draw, kwa hiyo hizo zote ni bahati bila uwezo?
Sasa hizo bahati mbona akina Azam fc hawapati wanapokuwa wanawakilisha kimataifa? Bahati inaendana na uwezo , huwezi kupata bahati ya kufunga kama huna uwezo wa kusababisha hata kona. Fungua kichwa chako hicho acha ushabiki maandazi.
Pumba.vu zako hiyo aibu ni kwa ukoo wako. Eti unamuamini kwa 100% kocha aliefungwa anaetetea kibarua chake, akili zako zina walakini.View attachment 2191560
Hii ni aibu kwa taifa
Sisi tunazumgumzia mpira sio matusi, kwani hata simba na Yanga zikibeba kombe la dunia wewe utabakia hivyo hivyo ulivyo, kwenye mgao haumo.. Ile haikuwa penati. Kana kama hukuviona vitochi kwenye macho ya golikipa. Ww mpuuzi wa mpira wa simba N YangaPumba.vu zako hiyo aibu ni kwa ukoo wako. Eti unamuamini kwa 100% kocha aliefungwa anaetetea kibarua chake, akili zako zina walakini.
Siungi mkono vitochi ila kusema haikuwa penalt bila uchambuzi wowote na kuunga mkono kwa 100% matamshi ya huyo kocha anaetetea kibarua chake ndio upuuzi wako ulipo.Sisi tunazumgumzia mpira sio matusi, kwani hata simba na Yanga zikibeba kombe la dunia wewe utabakia hivyo hivyo ulivyo, kwenye mgao haumo.. Ile haikuwa penati. Kana kama hukuviona vitochi kwenye macho ya golikipa. Ww mpuuzi wa mpira wa simba N Yanga