Timu inayofungwa 3-0 inakuzaje utalii nchini?

TANAPA kuweni makini na vitendo vinavyokinzana na jitihada zetu za kuvutia utalii nchini.

Timu inayoandika kwenye jezi yake "visit Tanzania, then inafungwa bao 3-0 kwenye mechi inayotazamwa dunia nzima kunapunguza utalii wetu. Timu ameandika Visit Tanzania, then unanunua waamuzi wachezeshe unavyotaka wewe kwenye mechi ambayo inaonekana dunia nzima kunapunguza utalii nchini.

Tuwe makini na Nia njema za timu zetu kwenye kuvutia watalii. Timu inayofungwa 5-0 inavutiaje utalii?

Badala ya visit Tanzania iwe Visit mo Arena
Akili zako zipo makalioni
 
Akili zako zipo makalioni
Visit Tanzania then watu wanamulika wachezaji wenzao tochi wakati wa kudaka mpira au kupiga mipira ya adhabu. Ripoti imeshakabidhiwa Caf na FIFA juu ya vitendo vile vibaya kwa utalii wetu.
 
Acha kupanic,mjiandae vilivyo,sio round ya awali tu chaliiiiiii!😅
hahaha, heri ya lawama kuliko fedheha ya vile. Kwani kusudio(motive) la kuwamulika tochi usoni US Gendarmarie lilikuwa ni nini? Na je, ni nini mchango wa kuwamulika usoni katika kufungwa magoli 4? Yaani utuambie namna (mechanism) mwanga wa tochi unavyochangia timu kuchanganyikiwa na kupoteza umakini kwenye game.
 
TANAPA kuweni makini na vitendo vinavyokinzana na jitihada zetu za kuvutia utalii nchini.

Timu inayoandika kwenye jezi yake "visit Tanzania, then inafungwa bao 3-0 kwenye mechi inayotazamwa dunia nzima kunapunguza utalii wetu. Timu ameandika Visit Tanzania, then unanunua waamuzi wachezeshe unavyotaka wewe kwenye mechi ambayo inaonekana dunia nzima kunapunguza utalii nchini.

Tuwe makini na Nia njema za timu zetu kwenye kuvutia watalii. Timu inayofungwa 5-0 inavutiaje utalii?

Badala ya visit Tanzania iwe Visit mo Arena
Hivi hii timu unayoiandamana ilifikia wapi mpaka hivi sasa kimataifa?
 
Vipi kuhusu timu inayo shinda goli 4-0? Inaweza ika kuza utalii?
 
TANAPA kuweni makini na vitendo vinavyokinzana na jitihada zetu za kuvutia utalii nchini.

Timu inayoandika kwenye jezi yake "visit Tanzania, then inafungwa bao 3-0 kwenye mechi inayotazamwa dunia nzima kunapunguza utalii wetu. Timu ameandika Visit Tanzania, then unanunua waamuzi wachezeshe unavyotaka wewe kwenye mechi ambayo inaonekana dunia nzima kunapunguza utalii nchini.

Tuwe makini na Nia njema za timu zetu kwenye kuvutia watalii. Timu inayofungwa 5-0 inavutiaje utalii?

Badala ya visit Tanzania iwe Visit mo Arena
Nadhani akili fupi imeshapata jibu
 
Vipi kuhusu timu inayo shinda goli 4-0? Inaweza ika kuza utalii?
Shida ni vitendo visivyokuwa vya kimichezo na kiungwana wakati w mechi, kumeharibu kila kitu
 
Mkuu , unategemea mtu ambaye tayari keshaathiriwa na vinyesi na makelele ya ng'ombe aandike nini cha Maana zaidi ya uzi kama huu ?
Huna unachokijuwa. Mataifa yote duniani yanakwepa kuitangaza nchi yao kwa kutumia timu zao za ligi sio kwamba ni wapumbavu au hawajui. Wanafamu kuwa siku timu hiyo ikidhalilishwa kwa kufungwa magoli mengi au wachezaji na viongozi wa timu wakifanya vitendo vibaya ndani na nje ya uwanja vitendo hivyo vitaenda kuadhiri kimataifa biashara zao nyingine kama vile mashirika ya ndege, bidhaa za viwandani, utalii, heshima ya Rais wa nchi kwenye wa dunia, heshima ya TFF, soko la hisa, utalii na mambo mengine. Yaani watu wana tabia ya kufananisha udhaifu wa taasisi moja na udhaifu wa huduma na bidhaa za kutoka nchi husika.

Tunataka mawaziri wa michezo, utalii, biashara na viwanda na yule wa mambo ya nje pamoja na viongozi wa TFF wanaofahamu kuwa michezo inaweza kuipaisha nchi kiuchumi lakini michezo hiyohiyo inaweza kuiangusha nchi kimichezo. Nchi kama Uingereza, Brazil, Spain, Nigeria, Ghana, Senegal na nyingine michezo ni sehemu ya uchumi wa nchi hizo, wanahakikisha kuwa wana ligi bora, adhabu kali na taratimu madhubuti za michezo kwa wachezaji, viongozi, wawekezaji, waamuzi na mashabiki wao. Huwezi kukuta England mchezaji anashangilia kwa kuvua bukta na kubaki na chupi tupu na bado yupo kwenye ligi yao. Kuvua shati ni kosa sembuse kuvua bukta?
 
Wivu na hili jambo litawacost sana,wasipokubali kujifunza kwa waliofanikiwa
Simba wamesababisha Caf wawaletee VAR kwenye mechi zilizobakia. Mlidhani chupli zenu za Kwamkapa hatoki mtu hazionekani kule Caf na FIFA? Swine!!! Sasa mpira utachezwa
 
Huna unachokijuwa. Mataifa yote duniani yanakwepa kuitangaza nchi yao kwa kutumia timu zao za ligi sio kwamba ni wapumbavu au hawajui. Wanafamu kuwa siku timu hiyo ikidhalilishwa kwa kufungwa magoli mengi au wachezaji na viongozi wa timu wakifanya vitendo vibaya ndani na nje ya uwanja vitendo hivyo vitaenda kuadhiri kimataifa biashara zao nyingine kama vile mashirika ya ndege, bidhaa za viwandani, utalii, heshima ya Rais wa nchi kwenye wa dunia, heshima ya TFF, soko la hisa, utalii na mambo mengine. Yaani watu wana tabia ya kufananisha udhaifu wa taasisi moja na udhaifu wa huduma na bidhaa za kutoka nchi husika.

Tunataka mawaziri wa michezo, utalii, biashara na viwanda na yule wa mambo ya nje pamoja na viongozi wa TFF wanaofahamu kuwa michezo inaweza kuipaisha nchi kiuchumi lakini michezo hiyohiyo inaweza kuiangusha nchi kimichezo. Nchi kama Uingereza, Brazil, Spain, Nigeria, Ghana, Senegal na nyingine michezo ni sehemu ya uchumi wa nchi hizo, wanahakikisha kuwa wana ligi bora, adhabu kali na taratimu madhubuti za michezo kwa wachezaji, viongozi, wawekezaji, waamuzi na mashabiki wao. Huwezi kukuta England mchezaji anashangilia kwa kuvua bukta na kubaki na chupi tupu na bado yupo kwenye ligi yao. Kuvua shati ni kosa sembuse kuvua bukta?
Rwanda walikosea kuiweka Visit Rwanda kwa Arsenal na PSG?
Vipi hili jambo limeathiri uchumi wa Rwanda? Limeshusha heshima ya Paul Kagame? Na soko lao la hisa je?
Porojo tu.
 
Wewe una shida kubwa ya kuelewa. Kagame ana akili nyingi sana. Arsenal na PSG ziko Ulaya wanakotoka watalii, arsenal na PSG ni timu kubwa zenye mashabiki wengi duniani, Ulaya Kuna ushindani wa haki hakuna chupli chupli ya waamuzi na wachezaji wasioadhibiwa vya kutosha wakionyesha utovu wa nidhamu. Kaacha timu za nchini kwake kama APR na Lyon ambazo ziko sawa na Simba na Yanga akaenda kutumia timu za Ulaya. Sasa usihoji Rwanda na arsenal na PSG. Angekuwa mpuuzi kama angeandika visit Rwanda kwenye jezi ya APR au Lyon sports. Usilinganishe mifano isiyofanana. Kama Mh. NDUMABARO angezivalisha visit tannzania timu za Chicago bulls, real Madrid, man u au Liverpool nisingeongea kitu.
 
Wazee watamkoroga Pablo na wachezaji, eti magoli anayo tayari. Simba wameshakata tamaa kuifukuzia Yanga
 
Back
Top Bottom