Timu inayofungwa 3-0 inakuzaje utalii nchini?

jambo ambalo Waziri wa Utalii, Ndumbaro na wengine hawakulizingatia wakati wanaruhusu timu ya Simba au Yanga iitangaze Tanzania na Utalii wa Tanzania kwa kwamba kama timu hiyo ikifanya vizuri na utalii unafanya vizuri pia na kama ikifanya vibaya na utalii unafanya vibaya, kama timu ikizomewa na utalii wetu utazomewa na kama ikishangiliwa na utalii utashangiliwa, kama mchezaji atawaonyesha wenzake kidole cha kati hata utalii wetu utaonyeshwa kidole cha kati pia, na kama mchezaji wa hiyo timu akivua bukta akabakia na chupi wakati wa kushangilia hivyohivyo hata utalii wetu utavuliwa bukta na kubaki na chupi. Kuipa timu ubalozi wa kutanga biashara yako sio kitu cha kufanyia mzaha na porojo porojo kama ilivyofanyika,

Kwanza timu nzima, wachezaji, wadhamini na viongozi na hata wale mashabiki kindakindaki wa timu walipaswa TANAPA ikae nao na ikibidi iwatembeze kwenye vivutio vyetu vya utalii ili wote wafahamu kile wanachokitangaza, kisha wapatiwe dos and don'ts zao kama mabalozi wetu wanapokuwa ndani na nje ya uwanja. Ndumbaro hakulifanya hilo, anadai watu 5b wameangalia mechi lakini hajui kuwa, ukiwaudhi watu 5b pia ni hatari sana kwenye utalii. Ndio maana watu wenye akili hawezi kutumia club za nchi yake kwenye ligi ya nyumbani kuandika Visit South Afrika, Visit England, Visit Egypt. Kama ni hivyo Al-Ahly timu kubwa Afrika ingekuwa na maandishi mwili mzima ya Visit Egypt kuwaita watu wakaone mapiramidi ya mafarao kule.

unaweza kuwavutia watu 5b lakini unaweza kuwafukuza watu 5b pia.
Kwanza hao watu bilioni 5 wanatoka wapi. Ninavyo fahamu Mimi watazamaji wa hizo gemu zote almost ni wale wale (mutually inclusive).
Kama mechi ya kwanza iliangaliwa na watu say 5,000,000 , mechi ya Pili nayo 5,000,000 si hasha ni wale wale wa mechi ya mwanzo kama kuna tofauti haiwezi kuzidi hata asilimia 1, na kila mechi inazidi kupunguza au isiwepo kabisa hiyo nyongezj ya watazamaji wapya, pamoja na kwamba unajiona bado umeangaliwa na watu milioni 5.
Hesabu ya 5b ni unrealistic kama lengo ndio hilo la kupata 1% of it.
 
Watu na ardhi tunavyo, tabu yetu ni uongozi Bora. Kama kila mtu angekuwa na ufahamu wa 50% wa kile anachokiongoza Tanzania ingepaa.
 
Kama wakati huo Yanga ingevalishwa jezi yenye visit Tanzania huenda mbuga ya Serengeti ingeshafutika kwenye ramani. Ni hatari sana utalii wetu kuufanyia mzaha. Ukiona mzungu hafanyi hivyo nawe usifanye tafadhali, walijaribu wakafeli.
Kuna timu zinaitwa serengeti boys , Kilimanjaro stars. Hizo timu hamna chochote cha maana ilichofanikiwa na huwa zinafungwa kama ambavyo simba au yanga wanafungwa kimataifa, lakini umaarufu wa serengeti national park na Mlima kilimanjaro unazidi kuongezeka.

Kiufupi ni kwamba hoja zako ni za hovyo.
 
usichanganye mada, unayosema wewe ni serengeti bia, sio mbuga. wala jezi haina visit Tanzania, halfu serengi boys hata mm mwenyyewe huwa nasahau kutizama mechi zao.
 
Kuna timu zinaitwa serengeti boys , Kilimanjaro stars. Hizo timu hamna chochote cha maana ilichofanikiwa na huwa zinafungwa kama ambavyo simba au yanga wanafungwa kimataifa, lakini umaarufu wa serengeti national park na Mlima kilimanjaro unazidi kuongezeka.

Kiufupi ni kwamba hoja zako ni za hovyo.
wenzako wameshaelewa nilichokisema, hata wewe nakupa homework ya kwenda ku google ili uone kama kuna nchi iliyoandika Visit hiyo nchi kwenye jezi ya timu yake ya ligi. Ujanja tu ulihusika kuficha kuonyesha ziliko 20b
 
Hakuna mwenye akili timamu ataunga mkono ulichoandika.
 
Je ile timu ya magodoro iliyoshindwa kupata hata goli la offside na ikapigwa nje ndani
 
Kama ingekuwa inasaidia timu zote za epl zingelazimishwa zivae maandishi ya Visit England. Ni uzuzu TU.
Wewe ndio zuzu yaani hujui Kitendo cha kuifuatilia epl na klabu zake ni tangazo tosha ya kutambua kuwa kuna england?
 
Kilichokuwa kinatakiwa ni kui brand ligi yetu iwe Bora barani Africa ili timu ya Taifa na vilabu zishinde Mataji makubwa ya Caf na kushiriki world cup tournaments pamoja na kutoa akina Mbwana samatta wengi kwenda nchi mbalimbali zenye ligi kubwa duniani.

Sio hii ya chupli chupli ya kuvalisha Visit Tanzania kwenye timu mbovu inayocheza ligi mbovu na timu mbovu ya Taifa, nani ataijuwa Tanzania kwa kupitia utumbo kama huo.

Mfano, Senegal, Nigeria, Ghana, Morocco, na Ivory coast na Cameron wanahitaji wanahitaji kuitangaza kwa njia ya Visit Senegal?

Narudia tena uzuzu ndio tatizo letu kuu. Serikali na TFF hawaoni haya kuona waamuzi wakiivurunda ligi yetu, hawajui kuwa wanatuharibia hata kwenye mambo yetu mengine ya nje ya mpira.
 
Kuna timu ilivaa visit Zanzibar ikapigwa Nje ndani hahahha sijui nayo ilitangaza utalii gani Hahahahah
 
mambo ya kuiga vitu kizuzu. Inawezekana walilazimishwa na mamlaka wavae, sio akili zao
 
IMG-20220329-WA0010.jpg
 
Kuna timu ilivaa visit Zanzibar ikapigwa Nje ndani hahahha sijui nayo ilitangaza utalii gani Hahahahah
Kwa utalii Ni heri kuvaa jezi yenye picha ya mmasai kuliko "visit Tanzania". Mpira na ligi yetu haijafikia hatua ya kutumika kutangaza utalii wetu. Hatuna timu ya taifa, club wala mchezaji wa kuitangaza Tanzania so far. Tuendelee kutumia njia nyingine (Filbert Bai, Nyambui, Mwakinyo, Kilimanjaro, Zanzibar, etc) kuvutia watalii lakini sio kupitia soka la wanaume, bado sana, tutaharibu sana hata kilichopo.
 
Yule mzungu aliesema mashabiki wa yanga a.k.a utopolo au chura,kuwa ni manyani hakukosea kabisa!jitu la msituni li nyani linatoka uko linasema kuwa Simba ananunua mechi ni jitu jinga kabisa.
Kabla ujaisema Simba kwanza chomoa mwiko uko nyuma ndio labda akili itakuwa sawa,Simba kawagonga Vita wakiwa na mayele wenu hapo Kinshasa!Simba kawagonga wanaigeria plateau uko kwao Lagos,Simba kawagonga waswaziland uko kwao,ifike hatua manyani muache ujinga.
Simba ikishinda away bado hamkosi sababu,ikifungwa away mnashangilia sana na mnasema imefungwa ki halali,ikishinda kwa mkapa,Simba imenunua mechi?!!! Sijui imepuliza dawa,manyani hayajawahi kuwa na akili,ndio maana yanatoa tenda malapulapu yao myemeni anauza 30000tsh. Yenyewe yanapewa 1500tsh[emoji23][emoji23][emoji23] na siku hizi hayapewi kabisa hata hio alfu mia tano ,mwarabu wa Yemeni anasingizia yeye ndio anahudumia timu, hivyo hatoi hata mia mbovu,sasa hivi mwarabu wa Yemeni anawachangisha hela sijui za uanachama,ambazo hazijulikani zipo chini ya usimamizi wa Nani!? Maana uongozi ulishawekwa kando maamuzi yote yanatoka salamander tower!!ndio club ya kwanza duniani ambayo kit sponsor ndio anafanya shughuli zote za kila siku za timu!??kweli manyani ni shida!!
 
Kwahiyo kwa hali hii Visit Tanzania ataleta watu wengi kutoka Morocco?
 
Itawaleta wengi tu!!Kwani mnapoendaga pale kipawa kwa makundi kuwapokea wageni mnadhani uwa wamejileta wenyewe!!kuna sababu ndio maana wanakuja,anaesababisha waje ni Simba,nyie kazi yenu ni kuwapokea kujifunga kibwebwe na kuwachezea ngoma za utamaduni!
 
Na hii je? Visit Tanzania: kwa hiyo baada ya mechi hii kumalizika watalii kutoka S.Africa watamiminika kuja Tanzania baada ya kuona Visit Tanzania?
 
Back
Top Bottom