Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Huu ni ubishi wa kule kwny kahawa .....Rwanda wamebandika kwny vitu vya Arsenal...visit Rwanda na Arsenal inafungwa but visibility does be affected na results?Hata Russia inatangazwa duniani kote sasa hivi, je, watalii wanakwenda huko? HUwezi kufungwa 5-0, kunyima watu penati, kunyima watu magoli halali na wachezaji wengi kupewa kadi kwa mchezo mbaya halafu usema unaitangaza nchi watalii waje, badala yake unafanya kinyume chake. Hakuna mtalii inaependa kwenye nchi yenye dhuluma, chafu, wezi, dhaifu, nk. Badala ya kutangaza uzuri unatangaza ubaya.
Unajua kwanini Rwanda hawakubandika kwenye timu zao wakaenda kubandika Arsenal? UNICEF walibandika Barcelona lakini Spain yenyewe hawakubandi visit Spain? Mh. Ndumbaro na akina Barbara wakashindwa kwenda kubandika kwenye timu timu za mbele kama Liverpool, Man City, Real Madrid, PSG wanakotoka watalii wakaishia kwenda kubandika Simba inayoishia hapo Benin, hivi watalii wetu wanatoka Afrika siku hizi. Je, Ulaya na Marekani ni watu wangapi wanaangalia mechi za mzuunguuko wa kwanza na makundi caf?Ila Huu ni ubishi wa kule kwny kahawa .....Rwanda wamebandika kwny vitu vya Arsenal...visit Rwanda na Arsenal inafungwa but visibility does be affected na results?
Sent using Jamii Forums mobile app
acha kutumia makalio kufikiri.TANAPA kuweni makini na vitendo vinavyokinzana na jitihada zetu za kuvutia utalii nchini.
Timu inayoandika kwenye jezi yake "visit Tanzania, then inafungwa bao 3-0 kwenye mechi inayotazamwa dunia nzima kunapunguza utalii wetu. Timu ameandika Visit Tanzania, then unanunua waamuzi wachezeshe unavyotaka wewe kwenye mechi ambayo inaonekana dunia nzima kunapunguza utalii nchini.
Tuwe makini na Nia njema za timu zetu kwenye kuvutia watalii. Timu inayofungwa 5-0 inavutiaje utalii?
Badala ya visit Tanzania iwe Visit mo Arena
Unajua kwanini Rwanda hawakubandika kwenye timu zao wakaenda kubandika Arsenal? UNICEF walibandika Barcelona lakini Spain yenyewe hawakubandi visit Spain? Mh. Ndumbaro na akina Barbara wakashindwa kwenda kubandika kwenye timu timu za mbele kama Liverpool, Man City, Real Madrid, PSG wanakotoka watalii wakaishia kwenda kubandika Simba inayoishia hapo Benin, hivi watalii wetu wanatoka Afrika siku hizi. Je, Ulaya na Marekani ni watu wangapi wanaangalia mechi za mzuunguuko wa kwanza na makundi caf?
Yaani unataka kusema watalii watamiminika ngorongoro kwa kuana jina Tanzania kwenye shati la timu iliyofungwa 5-0 kwenye mechi na kupendelewa? Duniani kote tangazo la aina hiyo huwa linashusha hisa za kampuni na kupunguza wateja.
Na bora lingekua lile la Congo, sa ili vumbi la bongo tutalifanyia nn[emoji1787]Bora pumba Zina matumizi Makolo mnapost vumbi.
Toa hoja kuonyesha kuwa nawewe una akili. Nimekwambia unitajie nchi duniani ambayo ambayo imechukua timu yake moja kwenye ligi na kuruhusi timu hiyo moja iandiake kwenye jezi yake Visit Germany, Visit England, Visit Ukraine, Visit USA, Visit China, etc, UKishindwa kuitaja hiyo nchi na timu iliyotumika basi ujue wewe na wenzako ni maboya? Hata Rwanda haikutumia timu yake ya kwenye ligi kufanya hivyo badala yake imetumia timu ya England, Arsenal, kwanza ina mashabiki wengi wanaoifuatilia duniani kote, pili ligi ya England inatizamwa duniani kote, tatu watalii wengi ni wazungu, nne Arsenal ni timu kubwa na tano Rais Kagame ni shabiki wa Arsernal.acha kutumia makalio kufikiri.
Hakuna Utopolo mwenye akili.
Barcelona yenyewe imeishapigwagwa 5 na PsgTANAPA kuweni makini na vitendo vinavyokinzana na jitihada zetu za kuvutia utalii nchini.
Timu inayoandika kwenye jezi yake "visit Tanzania, then inafungwa bao 3-0 kwenye mechi inayotazamwa dunia nzima kunapunguza utalii wetu. Timu ameandika Visit Tanzania, then unanunua waamuzi wachezeshe unavyotaka wewe kwenye mechi ambayo inaonekana dunia nzima kunapunguza utalii nchini.
Tuwe makini na Nia njema za timu zetu kwenye kuvutia watalii. Timu inayofungwa 5-0 inavutiaje utalii?
Badala ya visit Tanzania iwe Visit mo Arena
jambo ambalo Waziri wa Utalii, Ndumbaro na wengine hawakulizingatia wakati wanaruhusu timu ya Simba au Yanga iitangaze Tanzania na Utalii wa Tanzania kwa kwamba kama timu hiyo ikifanya vizuri na utalii unafanya vizuri pia na kama ikifanya vibaya na utalii unafanya vibaya, kama timu ikizomewa na utalii wetu utazomewa na kama ikishangiliwa na utalii utashangiliwa, kama mchezaji atawaonyesha wenzake kidole cha kati hata utalii wetu utaonyeshwa kidole cha kati pia, na kama mchezaji wa hiyo timu akivua bukta akabakia na chupi wakati wa kushangilia hivyohivyo hata utalii wetu utavuliwa bukta na kubaki na chupi. Kuipa timu ubalozi wa kutanga biashara yako sio kitu cha kufanyia mzaha na porojo porojo kama ilivyofanyika,Ila kuna la kujifunza
Maandishi mareeefu yote pumba tu. Sasa hao Egypt, England , South A. umeona wapi wakijitangaza na klabu za nje? Kwa hiyo kwa vile hizo nchi hazijitangazi kwa klabu za ndani au nje basi ni sheria kwa nchi zingine zisijitangaze?jambo ambalo Waziri wa Utalii, Ndumbaro na wengine hawakulizingatia wakati wanaruhusu timu ya Simba au Yanga iitangaze Tanzania na Utalii wa Tanzania kwa kwamba kama timu hiyo ikifanya vizuri na utalii unafanya vizuri pia na kama ikifanya vibaya na utalii unafanya vibaya, kama timu ikizomewa na utalii wetu utazomewa na kama ikishangiliwa na utalii utashangiliwa, kama mchezaji atawaonyesha wenzake kidole cha kati hata utalii wetu utaonyeshwa kidole cha kati pia, na kama mchezaji wa hiyo timu akivua bukta akabakia na chupi wakati wa kushangilia hivyohivyo hata utalii wetu utavuliwa bukta na kubaki na chupi. Kuipa timu ubalozi wa kutanga biashara yako sio kitu cha kufanyia mzaha na porojo porojo kama ilivyofanyika,
Kwanza timu nzima, wachezaji, wadhamini na viongozi na hata wale mashabiki kindakindaki wa timu walipaswa TANAPA ikae nao na ikibidi iwatembeze kwenye vivutio vyetu vya utalii ili wote wafahamu kile wanachokitangaza, kisha wapatiwe dos and don'ts zao kama mabalozi wetu wanapokuwa ndani na nje ya uwanja. Ndumbaro hakulifanya hilo, anadai watu 5b wameangalia mechi lakini hajui kuwa, ukiwaudhi watu 5b pia ni hatari sana kwenye utalii. Ndio maana watu wenye akili hawezi kutumia club za nchi yake kwenye ligi ya nyumbani kuandika Visit South Afrika, Visit England, Visit Egypt. Kama ni hivyo Al-Ahly timu kubwa Afrika ingekuwa na maandishi mwili mzima ya Visit Egypt kuwaita watu wakaone mapiramidi ya mafarao kule.
unaweza kuwavutia watu 5b lakini unaweza kuwafukuza watu 5b pia.
Hii nchi vilaza mko wengi. Maelezo mareeefu lakini pumba tupu. Huwezi kuwa mchunga ng'ombe halafu ukawa na uelewa. Masikini , ng'ombe wa mayele sasa ndo kazidi kuwafanya muwe machizi zaidi.jambo ambalo Waziri wa Utalii, Ndumbaro na wengine hawakulizingatia wakati wanaruhusu timu ya Simba au Yanga iitangaze Tanzania na Utalii wa Tanzania kwa kwamba kama timu hiyo ikifanya vizuri na utalii unafanya vizuri pia na kama ikifanya vibaya na utalii unafanya vibaya, kama timu ikizomewa na utalii wetu utazomewa na kama ikishangiliwa na utalii utashangiliwa, kama mchezaji atawaonyesha wenzake kidole cha kati hata utalii wetu utaonyeshwa kidole cha kati pia, na kama mchezaji wa hiyo timu akivua bukta akabakia na chupi wakati wa kushangilia hivyohivyo hata utalii wetu utavuliwa bukta na kubaki na chupi. Kuipa timu ubalozi wa kutanga biashara yako sio kitu cha kufanyia mzaha na porojo porojo kama ilivyofanyika,
Kwanza timu nzima, wachezaji, wadhamini na viongozi na hata wale mashabiki kindakindaki wa timu walipaswa TANAPA ikae nao na ikibidi iwatembeze kwenye vivutio vyetu vya utalii ili wote wafahamu kile wanachokitangaza, kisha wapatiwe dos and don'ts zao kama mabalozi wetu wanapokuwa ndani na nje ya uwanja. Ndumbaro hakulifanya hilo, anadai watu 5b wameangalia mechi lakini hajui kuwa, ukiwaudhi watu 5b pia ni hatari sana kwenye utalii. Ndio maana watu wenye akili hawezi kutumia club za nchi yake kwenye ligi ya nyumbani kuandika Visit South Afrika, Visit England, Visit Egypt. Kama ni hivyo Al-Ahly timu kubwa Afrika ingekuwa na maandishi mwili mzima ya Visit Egypt kuwaita watu wakaone mapiramidi ya mafarao kule.
unaweza kuwavutia watu 5b lakini unaweza kuwafukuza watu 5b pia.
ndo imeshakuwa Visit Tanzania, wenye nchi (serikali) wameshaamua, wananchi (wanyonge) kuweni wapole tu, mkapokee wageni pale airport wanaofika nchini ku Visit TanzaniaBadala ya visit Tanzania iwe Visit mo Arena
Hii nchi vilaza mko wengi. Maelezo mareeefu lakini pumba tupu. Huwezi kuwa mchunga ng'ombe halafu ukawa na uelewa. Masikini , ng'ombe wa mayele sasa ndo kazidi kuwafanya muwe mach
Maelezo ni marefu lakini umemaliza kuyasoma yote, ahsante sana. Narudia tena ukiwa balizi wetu kwenye utalii hatutaki mtuchafue kwa kunyang'anya watu penati na magoli Yao halali, chezeni mpira watu wafungwe kihalali ili timu na nchi vipate sifa stahili. Msiandike visit Tanzania Kisha ukanunua Waamuzi, dunia inaona vituko vyote.Hii nchi vilaza mko wengi. Maelezo mareeefu lakini pumba tupu. Huwezi kuwa mchunga ng'ombe halafu ukawa na uelewa. Masikini , ng'ombe wa mayele sasa ndo kazidi kuwafanya muwe machizi zaidi.
Haya sasa nadhani jibu umelipata bwana uto
umekaa na maumivu wiki nzima ukaamua leo uje umwage chozi hadharani kwi kwi kwihuu ni msiba sawa na misiba mingine kwetu, dunia nzima ina watu 7b, sasa kama kati 5b (71.4%) ya watu wa dunia walitizama mechi za Simba yatakuwa maajabu makubwa. Waziri wa hivi nashangaa hajajiuzulu kwa kusema uongo.
Na utopolo ilivyofungwa na Raja Casablanca 6 tuwaweke kundi ganiKwasababu hiyo Ndiyo maana Hispania haikubali Barcelona iandike kwenye jezi yake 'visit Hispania' kuepuka mambo kama hayo.