Timu inayofungwa 3-0 inakuzaje utalii nchini?

Yaan madrid kala 4 kwake isiwe habari halafu Simba kupigwa 3 iwe habari kubwa? Vibwengo huku kimataifa tunajua mchezo tunavyo ucheza
Sawa, kufungwa sio tatizo kwenye mpira wa miguu, tatizo ni kutangaza utalii wa nchi huku ukiwa unafungwa, unanunua mechi na kukodi mashabiki wa kukushangilia ugenini. Hili ndio tatizo. Mfano kama isingepeperusha ujumbe unaotuhusu sisi sote isingekuwa tatizo, lakini kuwa balozi wa jambo fulani kunahitaji kuwa mwadilifu na sifa nyingine nyingi. Mfano yule kijana wetu mwanamusiki aliyekuwa amepewa ubalozi wa kupiga vita ujangili wa tembo halafu akaonekana amevua nguo zote na kujipaka mafuta mwili mzima watu walimsema sana,
 
Acha wivu kibwengo wewe, wewe si ndio ulisema Rivers utd wachezaji wake wana corona lakini bado ulipigwa nje ndani, timu ipo makundi shirikisho Africa unataka serikali wakupe wewe Utopolo ubalozi ukawatangazie Ihefu
 
Na asernal vipi ndg na ile visit Rwanda au madrd na emerates
Hao watakana wenyewe kwenye malipo kulingana na mikataba yao, hata sportpesa wana mikataba ya makubaliano na timu fulani nchini kama timu ikishinda na ikishindwa, Umeona wapi EPL au Laliga timu iliyoandika jezi yake Visit England au Visit Spain? Simba inatuchafua sisi sote ifute hilo tangazo mara moja kwenye jezi yake, mama sisi watanzania sio sehemu ya ule mpango wa kuinyima Berkane penati au kulikataa goli lake halasi, wala Tanzania kama nchi haihusiku na mbinu iliyotumiwa na simba kupata washangiliaji na kuwavisha fulana zenye maandishi yale, hivyo ifute jina la Tanzania kwenye jezi yake ili yabakie makolokolo yake ya mo extra, foundation, sportpesa, nk wanaweza kuongeza jina la Madam kwenye jezi pia lakini sio Tanzania.
 
Team iliyofungwa tatu ndio team anayoililia GSM aweke udhamini wake maaana utopolo anapata hasara tu akatumia kigezo cha kudhamini league ila akaikosa simba akavunja mkataba kama lengo ni kudhamini league si angeendelea na team nyingine ila anaitaka simba wakakataa akaondoka utopolo inamtia hasara tu GSM.
 
Hao watakana wenyewe kwenye malipo kulingana na mikataba yao, hata sportpesa wana mikataba ya makubaliano na timu fulani nchini kama timu ikishinda na ikishindwa, Umeona wapi EPL au Laliga timu iliyoandika jezi yake Visit England au Visit Spain? Simba inatuchafua sisi sote ifute hilo tangazo mara moja kwenye jezi yake, mama sisi watanzania sio sehemu ya ule mpango wa kuinyima Berkane penati au kulikataa goli lake halasi, wala Tanzania kama nchi haihusiku na mbinu iliyotumiwa na simba kupata washangiliaji na kuwavisha fulana zenye maandishi yale, hivyo ifute jina la Tanzania kwenye jezi yake ili yabakie makolokolo yake ya mo extra, foundation, sportpesa, nk wanaweza kuongeza jina la Madam kwenye jezi pia lakini sio Tanzania.
[emoji23][emoji38][emoji1787][emoji28] polesana yanga mwanayanga kukaa angani masaa karibu 10 sio mchezo uzoefu unahitajika
 
Simba imesababisha Tanzania kuingiza timu 4 kwenye mashindano ya CAF ambazo zote 4 zimetolewa mapema kwa kukosa ubora ikiwemo Simba yenyewe iliyofurushwa na Galaxy mapema kabisa. Hii maana yake ni kuwa Simba inatafuta 4 za kucheza kwa njia haramu (kununua mechi kwa Mkapa) hivyo kusababisha Tanzania kupeleka timu 4 ambazo hazina ubora unaotakiwa kwenye mashindano ya caf. TFF na Serikali muwe macho na vitendo vya timu zetu zinazotumia mbinu haramu kupata matokeo kwenye ligi au mechi za kimataifa maana wanatuchafua wote na hasa utalii wetu. Haiwezekeni timu 4 zote zitolewe hATUA za awali vile,

Wote tunaona, Simba imetolewa na Galaxy mapema champions na kuaangukia confederations, ona hata huko nako bado anasuasua na kulazimisha matokeo kwenye uwanja wa Mkapa wasiwasi kabisa. Wallah tunajidanganya sisi wenyewe na tutachangia kuua hata utalii wetu kwasababu mechi zote na namna zinavyochezeshwa zinaonekana dunia nzima. Wacha merit iamue kupata timu 4 au 2 za kushiriki mashindano ya caf sio janjajanja hizi,
Luc Eymael popote pale alipo ajengewe Mnara. Hivi kumbe kweli utopoloni wote mna akili za kinyaninyani hivi! Leo nimeamini , Wenye akili Yanga ni wawili tu . Sunday manara na JK. Mliobaki wote hamnazo. Naishia hapo nisije kumkufuru muumba.
 
Hao watakana wenyewe kwenye malipo kulingana na mikataba yao, hata sportpesa wana mikataba ya makubaliano na timu fulani nchini kama timu ikishinda na ikishindwa, Umeona wapi EPL au Laliga timu iliyoandika jezi yake Visit England au Visit Spain? Simba inatuchafua sisi sote ifute hilo tangazo mara moja kwenye jezi yake, mama sisi watanzania sio sehemu ya ule mpango wa kuinyima Berkane penati au kulikataa goli lake halasi, wala Tanzania kama nchi haihusiku na mbinu iliyotumiwa na simba kupata washangiliaji na kuwavisha fulana zenye maandishi yale, hivyo ifute jina la Tanzania kwenye jezi yake ili yabakie makolokolo yake ya mo extra, foundation, sportpesa, nk wanaweza kuongeza jina la Madam kwenye jezi pia lakini sio Tanzania.
Ile vist zanzibar ilishafutwa kwenye jezi ya utopolo ? Tuanzie hapo kwanza. Au unafikiri wazanzibar walifurahi mlivyowadharirisha kuchomwa nyuma na mbele na rivers huku mkiwa mumeweka jina la nchi yao kwenye hiyo mijezi yenu iliyojaa mafuvu ya misukule? Au kwakuwa hawajapeleka malalamiko Cas mkaona walifurahi?
 
Luc Eymael popote pale alipo ajengewe Mnara. Hivi kumbe kweli utopoloni wote mna akili za kinyaninyani hivi! Leo nimeamini , Wenye akili Yanga ni wawili tu . Sunday manara na JK. Mliobaki wote hamnazo. Naishia hapo nisije kumkufuru muumba.
Wachezaji mliosema ninyi wenyewe kuwa wakapimwe akili ndio tunawapa kazi ya kuitangaza Tanzania. Timu inachapwa 5-0 eti inatangaza Tanzania, timu inalalamikiwa na timu za ndani na nje ya Nchi kuwa inanunua mechi eti ndo tunaipa kazi ya kututangaza sisi, timu karibu nusu ya wachezaji wote wamepewa kadi ya njano kwa kuchezea wenzao vibaya eti ndio wanaitangaza Tanzania.
 
Ile vist zanzibar ilishafutwa kwenye jezi ya utopolo ? Tuanzie hapo kwanza. Au unafikiri wazanzibar walifurahi mlivyowadharirisha kuchomwa nyuma na mbele na rivers huku mkiwa mumeweka jina la nchi yao kwenye hiyo mijezi yenu iliyojaa mafuvu ya misukule? Au kwakuwa hawajapeleka malalamiko Cas mkaona walifurahi?
Hata Yanga ilipaswa kuomba kibali kwa wahusika kabla ya kutumia majina ya kuvutia watalii ili wapewe vigezo na mashariti ya kutumia jina Kilimanjaro na Zanzibar kwenye jezi. Bahati nzuri Yanga walifungwa kihalali hawakujiinhiza kwenye vitendo vya kununua washangiliaji kule Nigeria kama walivyofanya wenzao.
 
TANAPA msikubali timu kujiandikia ujumbe unaotishia ukuaji wa utalii. Mfano, kila mtu duniani aliona Berkane ilivyonyimwa penati na ilivyonyimwa bao halali na timu iliyovaa Visit Tanzania, Visit Serengeti, nk unadhani ni nani atatuamini na kufunga safari nya kuja kwetu. Anadhani mambo yote hayo yana baraka ya TFF na Serikali na TANAPA
Hii sio Ile mliowanunua akina Morison na Yondan na wenzao.?
 
Hata Yanga ilipaswa kuomba kibali kwa wahusika kabla ya kutumia majina ya kuvutia watalii ili wapewe vigezo na mashariti ya kutumia jina Kilimanjaro na Zanzibar kwenye jezi. Bahati nzuri Yanga walifungwa kihalali hawakujiinhiza kwenye vitendo vya kununua washangiliaji kule Nigeria kama walivyofanya wenzao.
Umesahau kwamba utopolo ndo aliwabambikia wachezaji wa rivers kwamba wanavirus vya korona na kumpiga afisa HabarI wao ili kuwatoa mchezoni? Lakini yote hayo hayakufua dafu mkakojolewa ndani nje. Leo mnajisahulisha kwakuwa mnavichwa vya kuku.
 
Tunachosema neno Tanzania kwenye jezi litumiwe na timu ya Taifa tu baaaasi, hizi timu za mission town za kwamkapa hatoki mtu iwe marufuku. Kauli ya kwamkapa hatoki tu inahitaji kufanyiwa uchunguzi wa kina wa vyombo husika kama TFF, TEFA, PCCB, nk kuona nini kinafanywa kutimiza kauli mbiu hii. Maana tumeona kwa Mkapa watu wakinyimwa penati, magoli na wapinzani kupewa kadi nyekundu. timu kupewa penati wasizostahili na wachezaji wa timu pinzani kujisikia wamechoka sana kiwanjani kiasi cha timu kugomea vyumba vya kubadilishia jezi kiwanjani. Yasifanyike yote haya wakati timu imevaa jezi inayoitangaza Tanzania maana mataifa mengine watadhani vitendo hivyo vibaya kama vile vinaratibiwa na kupewa baraka na serikali na TFF. Hatutaki kutangazwa na timu inayolalamikiwa na mataifa mengine.
 
Ile vist zanzibar ilishafutwa kwenye jezi ya utopolo ? Tuanzie hapo kwanza. Au unafikiri wazanzibar walifurahi mlivyowadharirisha kuchomwa nyuma na mbele na rivers huku mkiwa mumeweka jina la nchi yao kwenye hiyo mijezi yenu iliyojaa mafuvu ya misukule? Au kwakuwa hawajapeleka malalamiko Cas mkaona walifurahi?
Sijui nani aliwaroga Yanga wakaiga ule ujinga wa Visit Tanzania. Huko Afrika Magharibi, Afrika Kaskazini, South Africa, Zambia kuna timu kubwa sana zinazofanya vizuri kwenye mashindano ya caf lakini sijawahi kuona timu ya Al Ahly kwenye jezi yao kuna Visit Egypt pamoja na vivutio vyao vingi vya kitalii walivyonavyo. Umeona wapi Enyimba imevaa Visit Nigeria au Mamelod wameandika Visit South Africa kwenye jezi? Msitupakaze shombo letu hebu vueni buana.
 
Tunachosema neno Tanzania kwenye jezi litumiwe na timu ya Taifa tu baaaasi, hizi timu za mission town za kwamkapa hatoki mtu iwe marufuku. Kauli ya kwamkapa hatoki tu inahitaji kufanyiwa uchunguzi wa kina wa vyombo husika kama TFF, TEFA, PCCB, nk kuona nini kinafanywa kutimiza kauli mbiu hii. Maana tumeona kwa Mkapa watu wakinyimwa penati, magoli na wapinzani kupewa kadi nyekundu. timu kupewa penati wasizostahili na wachezaji wa timu pinzani kujisikia wamechoka sana kiwanjani kiasi cha timu kugomea vyumba vya kubadilishia jezi kiwanjani. Yasifanyike yote haya wakati timu imevaa jezi inayoitangaza Tanzania maana mataifa mengine watadhani vitendo hivyo vibaya kama vile vinaratibiwa na kupewa baraka na serikali na TFF. Hatutaki kutangazwa na timu inayolalamikiwa na mataifa mengine.
Wewe mama j, kama unaona inakuuma simba kupata matokeo kwa Mkapa , kashitaki CAS au kwenye vyombo vyovyote vile vinavyohusika na masuala ya rushwa . Vinginevyo ni kuzidi kuoonesha jinsi watu wa utopolo mlivyo mazuzu.

Ujasiri wa kusema simba kwa Mkapa huwa anapuliza simu vyumbani ndipo ashinde huwa mnautoa wapi?

Simba alimfunga As vita 1 ,0 hukohuko kwao , simba alimfunga Plateu ya Nigeria 1,0 hukohuko kwao , simba alimfunga Mbabane swallows 4,1 hukohuko kwao.Je, huko nako alikuwa anapuliza sumu vyumbani?

Tuwache siasa za kijinga kwenye mpira hazitatusaidia.

Rai yangu , uto kama mpira umewashinda achaneni nao mwendeleze mradi wenu wa ufugaji wa ng'ombe.

Nyie kama mnaona ni sifa nzuri kufungwa nyumbani kama mnavyofungwa nyie kila mwaka , simba hatuna Ujinga kama huo.

Mwisho , Luc Eymael hakukosea kuwaita Manyani sababu ya uropokaji. Naye Mkuu wa Misukule Haji Manara hakukosea kusema; Kule usukuleni wenye unafuu wa akili ni wawili tu , Sunday Manara na JK. Mliobaki hamnazo. Na hiki kinyesi chako ulichoharisha humu kinadhihirisha hilo.

NB; kwa tuhuma hizi unazozitoa ushahidi unao. Upeleke kwa vyombo husika vichukue hatua . vinginevyo tunaita hayo ni majungu na unafiki.
 
Waziri Ana mihemko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... kasahau alikotolewa Yanga na Simba nae ametolewa mapema tu. Huku aliko Simba ni kwa akina Biashara United. Waziri amefeli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kweli hii tm ni ya matahira,Manara na Luc hawakukosea kwa kweli yaani kichwani mavi matupu
TANAPA kuweni makini na vitendo vinavyokinzana na jitihada zetu za kuvutia utalii nchini.

Timu inayoandika kwenye jezi yake "visit Tanzania, then inafungwa bao 3-0 kwenye mechi inayotazamwa dunia nzima kunapunguza utalii wetu. Timu ameandika Visit Tanzania, then unanunua waamuzi wachezeshe unavyotaka wewe kwenye mechi ambayo inaonekana dunia nzima kunapunguza utalii nchini.

Tuwe makini na Nia njema za timu zetu kwenye kuvutia watalii. Timu inayofungwa 5-0 inavutiaje utalii?

Badala ya visit Tanzania iwe Visit mo Arena
 
Kumbe uto mnajua katimu kenu kimataifa ni takataka sio safi sana
Utaona, US Gendemarie itakujafanyiwa kila aina ya baya (covid, marefa, pulizapuliza) ili Simba ishinde na kujifanya inatutafutia timu 4 za kushiriki caf mwakani, timu ambazo hazitakuwa na ubora huo., yaani garbage in garbage out.
 
Wewe mama j, kama unaona inakuuma simba kupata matokeo kwa Mkapa , kashitaki CAS au kwenye vyombo vyovyote vile vinavyohusika na masuala ya rushwa . Vinginevyo ni kuzidi kuoonesha jinsi watu wa utopolo mlivyo mazuzu.

Ujasiri wa kusema simba kwa Mkapa huwa anapuliza simu vyumbani ndipo ashinde huwa mnautoa wapi?

Simba alimfunga As vita 1 ,0 hukohuko kwao , simba alimfunga Plateu ya Nigeria 1,0 hukohuko kwao , simba alimfunga Mbabane swallows 4,1 hukohuko kwao.Je, huko nako alikuwa anapuliza sumu vyumbani?

Tuwache siasa za kijinga kwenye mpira hazitatusaidia.

Rai yangu , uto kama mpira umewashinda achaneni nao mwendeleze mradi wenu wa ufugaji wa ng'ombe.

Nyie kama mnaona ni sifa nzuri kufungwa nyumbani kama mnavyofungwa nyie kila mwaka , simba hatuna Ujinga kama huo.

Mwisho , Luc Eymael hakukosea kuwaita Manyani sababu ya uropokaji. Naye Mkuu wa Misukule Haji Manara hakukosea kusema; Kule usukuleni wenye unafuu wa akili ni wawili tu , Sunday Manara na JK. Mliobaki hamnazo. Na hiki kinyesi chako ulichoharisha humu kinadhihirisha hilo.

NB; kwa tuhuma hizi unazozitoa ushahidi unao. Upeleke kwa vyombo husika vichukue hatua . vinginevyo tunaita hayo ni majungu na unafiki.

Wewe mama j, kama unaona inakuuma simba kupata matokeo kwa Mkapa , kashitaki CAS au kwenye vyombo vyovyote vile vinavyohusika na masuala ya rushwa . Vinginevyo ni kuzidi kuoonesha jinsi watu wa utopolo mlivyo mazuzu.

Ujasiri wa kusema simba kwa Mkapa huwa anapuliza simu vyumbani ndipo ashinde huwa mnautoa wapi?

Simba alimfunga As vita 1 ,0 hukohuko kwao , simba alimfunga Plateu ya Nigeria 1,0 hukohuko kwao , simba alimfunga Mbabane swallows 4,1 hukohuko kwao.Je, huko nako alikuwa anapuliza sumu vyumbani?

Tuwache siasa za kijinga kwenye mpira hazitatusaidia.

Rai yangu , uto kama mpira umewashinda achaneni nao mwendeleze mradi wenu wa ufugaji wa ng'ombe.

Nyie kama mnaona ni sifa nzuri kufungwa nyumbani kama mnavyofungwa nyie kila mwaka , simba hatuna Ujinga kama huo.

Mwisho , Luc Eymael hakukosea kuwaita Manyani sababu ya uropokaji. Naye Mkuu wa Misukule Haji Manara hakukosea kusema; Kule usukuleni wenye unafuu wa akili ni wawili tu , Sunday Manara na JK. Mliobaki hamnazo. Na hiki kinyesi chako ulichoharisha humu kinadhihirisha hilo.

NB; kwa tuhuma hizi unazozitoa ushahidi unao. Upeleke kwa vyombo husika vichukue hatua . vinginevyo tunaita hayo ni majungu na unafiki.
Kama kama simba inapata matokeo ugenini kwanini iwe lazima wageni wasipate matokeo kwa Mkapa? hii ina maanisha kuwa timu nyingine kwenye mashindano ziko fair nyumbani na ugenini. Hii inadhibitishwa na zile timu ambazo zilizofungwa na Simba kwa Mkapa ndizo zilizocheza nusu final na final, kuonyesha kuwa kwa Mkapa zilifungwa kwa kichupli.

hebu ona wachezaji wa simba hawakuwepo hata mmoja kwenye timu ya taifa vs Afrika ya Kati lakini Taifa stars imepata matokeo safi ya 3-1, hii ni kuonyesha kuwa simba inadekezwa tu kufurahisha waumini wake kama wewe
 
Back
Top Bottom