Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Ndoa na kuoa ni Gereza lenye ghiriba kubwa , ulaghai wa wazi, uchoyo wa wazi, ubinafsi wa wazi.
Mwanangu Debora tumekupa Ghorofa la Bahari Beach, Nyumba Madale, Kiwanja DSM na Dodoma.
Ndio mtajua hamjui shetani ametawala nyanja ya kuoa na kuolewa.
Msukuma kaolewa kifala sana dharau peupe mwanaume unaolewa ni hovyo.
Endeleeni kushabikia ufala wa kuoa, unaanza kuona chungu kwenye sendoff kisha harusi kudadadadeake.
Mtaendelea kuyaona mengi timu Kataa Kuoa Kataa Ndoa Ina maono ya kimalaika.
Mwenye Video ya Mama Deborah tafadhari attach hapa watu waone uhalisia
Kataa Kuoa Kataa ufala