Timu kataa Ndoa kataa kuoa video ya Mama Deborah imetoa picha kwa mazezeta ambao wanafagilia Kuoa kwa kutokujua

Timu kataa Ndoa kataa kuoa video ya Mama Deborah imetoa picha kwa mazezeta ambao wanafagilia Kuoa kwa kutokujua

Naelewa, ila kutangazwa hadharani na kupewa kimya kimya kuna utofauti...

Hapo busara ingekuwa ni wamalize sherehe, waende honeymoon kisha wakisettle wawaite nyumbani kuwakabidhi hivyo vitu..
Halafu raia wangechonga sana kuwa familia haijampa binti yao zawadi 🤣🤣
 
Si mlete link ya huo uzi wa debora na msukuma wake.?
 
Hakuna cha ajabu mkuu.... mwenye nacho kaonesha uwezo kumpa mwanae zawadi na havina mahusiano na ndoa!!! Mwanaume ni kusimama ktk misingi yake na kuwa imara na kichwa bila kujali status ya mwanamke!!!!
 
Back
Top Bottom