Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Unaishi kivyako na mimba unapewa ukiwa unaishi kwakoSasa mkikataa kuoa wote, wenzenu tutaishije tunawategemea mjue 😢
Kuna nyuzi ipo hapa hapa kwa JF inajielezaIlikuwaje? Hebu fafanua nini kimetokea
Ukikataa kuoa maana yake upo tiyari kuolewa, either of the two! PeriodNdoa na kuoa ni Gereza lenye ghiriba kubwa , ulaghai wa wazi, uchoyo wa wazi, ubinafsi wa wazi.
Mwanangu Debora tumekupa Ghorofa la Bahari Beach, Nyumba Madale, Kiwanja DSM na Dodoma.
Ndio mtajua hamjui shetani ametawala nyanja ya kuoa na kuolewa.
Msukuma kaolewa kifala sana dharau peupe mwanaume unaolewa ni hovyo.
Endeleeni kushabikia ufala wa kuoa, unaanza kuona chungu kwenye sendoff kisha harusi kudadadadeake.
Mtaendelea kuyaona mengi timu Kataa Kuoa Kataa Ndoa Ina maono ya kimalaika.
Mwenye Video ya Mama Deborah tafadhari attach hapa watu waone uhalisia
Kataa Kuoa Kataa ufala
Pang Fung Mi
na mimba nalea mwenyewe hadi mtoto,, kwel mmeamuaUnaishi kivyako na mimba unapewa ukiwa unaishi kwako
Umeadika ushuzi ww baba yako na mama yako walioana au walikuwa wanaishi kininja. Inaonekana huna malezi boraNdoa na kuoa ni Gereza lenye ghiriba kubwa , ulaghai wa wazi, uchoyo wa wazi, ubinafsi wa wazi.
Mwanangu Debora tumekupa Ghorofa la Bahari Beach, Nyumba Madale, Kiwanja DSM na Dodoma.
Ndio mtajua hamjui shetani ametawala nyanja ya kuoa na kuolewa.
Msukuma kaolewa kifala sana dharau peupe mwanaume unaolewa ni hovyo.
Endeleeni kushabikia ufala wa kuoa, unaanza kuona chungu kwenye sendoff kisha harusi kudadadadeake.
Mtaendelea kuyaona mengi timu Kataa Kuoa Kataa Ndoa Ina maono ya kimalaika.
Mwenye Video ya Mama Deborah tafadhari attach hapa watu waone uhalisia
Kataa Kuoa Kataa ufala
Pang Fung Mi
Sio kweli mkuu labda kwenye vyama vyenu vya mashoga hiyo inaweza applyUkikataa kuoa maana yake upo tiyari kuolewa, either of the two! Period
Naona sindano imekuchoma ! Wewe kama hutaki kuoa subiri kuolewa, si ndio mnavyotaka nyieSio kweli mkuu labda kwenye vyama vyenu vya mashoga hiyo inaweza apply