Timu kataa Ndoa kataa kuoa video ya Mama Deborah imetoa picha kwa mazezeta ambao wanafagilia Kuoa kwa kutokujua

Tabia za kimasikini hizi
 
Acha aoe, si masifa wamefanya

Basi watagawana nusu nusu

Ila mtoto wao haukuwa na furaha kusikia anayosema Mama yake..

Hakupendezwa.. Nimempenda hapo.. Ana utu binti yao

Mwingine angekuwa anakenua meno nje nje...
 
Acha aoe, si masifa wamefanya

Basi watagawana nusu nusu

Ila mtoto wao haukuwa na furaha kusikia anayosema Mama yake..

Hakupendezwa.. Nimempenda hapo.. Ana utu binti yao

Mwingine angekuwa anakenua meno nje nje...
Mimi sijaona kosa la mama. Kwasababu tumezoea kuona wazazi wakitaja zawadi watakazo mpatia mtoto wao.

Shida nadhani imeanzia kwenye aina ya zawadi alizotajiwa mtoto imeonekana ni too much ukilinganisha na mume mtarajiwa anavyoonekana mnyonge.

Mimi nadhani shida iko kwa jamaa, kama hali ya kwao ndio ile pangu pakavu tia mchuzi basi amejichanganya, wasukuma wanasema ameligorogosha.
 
Kama mwanaume unataka kuoa basi oa mwanamke mwenye pesa na mali...
Ila usifanye upumbav wa kuoa mwanamke jobless masikini hana mbele wala nyuma. Hizo shida na dhiki zake muachie ateseke nazo na ndugu zake...
Haiwezekan umpe jina lenye heshima (Mrs fulani...) Halafu hana pesa na mali...

Kataa ndoa ni upuuzi ushamba uoga utoto usengerema ushenzi ushetani
 
Sometimes siyo lazima mtaje kila kitu mlichompa binti yenu publicly, kwa mwenye busara angetaja vichache tu ambavyo havimshushii heshima kijana
 
Kabisa
Kuoa si uhakika wa kupata kimoja cha usiku au usubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…