Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Lakini haitaondoa uhalisia kuwa hivyo vitu vipoSometimes siyo lazima mtaje kila kitu mlichompa binti yenu publicly, kwa mwenye busara angetaja vichache tu ambavyo havimshushii heshima kijana
Hiyo video iko wapi tujifunzeLakini haitaondoa uhalisia kuwa hivyo vitu vipo
Naelewa, ila kutangazwa hadharani na kupewa kimya kimya kuna utofauti...Lakini haitaondoa uhalisia kuwa hivyo vitu vipo
Hiyo video iko wapi tujifunze
Halafu raia wangechonga sana kuwa familia haijampa binti yao zawadi 🤣🤣Naelewa, ila kutangazwa hadharani na kupewa kimya kimya kuna utofauti...
Hapo busara ingekuwa ni wamalize sherehe, waende honeymoon kisha wakisettle wawaite nyumbani kuwakabidhi hivyo vitu..
Hawa watoto wameshaharibikiwa tayari, they will never recover from this..
Sometimes you have to swallow your pride for greater courseWalikuwa wanamfukuza kwa uwazi kabisa
KabisaSometimes you have to swallow your pride for greater course
wengine tunapenda kutoa bureMuwe mnatuuzia tuu, mtapata hela nyingi kuliko kuolewa.
Unaetoa bure shida iko wapi? Umepewa bure unatoa bure, jina la Bwana libarikiwe.wengine tunapenda kutoa bure
Basi msikatae wote kuoaUnaetoa bure shida iko wapi? Umepewa bure unatoa bure, jina la Bwana libarikiwe.