Timu zengine ni mbovu zaidiNafuatilia game ya Mbeya city na Yanga , kiukweli kiwango kibovu kinachoonyeshwa na Yanga inashangaza ! haijulikani wanacheza fomesheni gani , yaani haijulikani wamewezaje kuongoza ligi mpaka sasa , Mbeya city inayoburuza mkia haionekani kama ina tofauti yoyote na Yanga yenye wachezaji wa Kimataifa .
Tatizo la timu hii haijulikani kama ni wachezaji au ni kocha , ni timu mbovu kuliko maelezo .
Sisi kama nchi tukithubutu kukubali kuwakilishwa na timu hii kwenye michuano ya kimataifa itakuwa aibu ya karne .
Nafuatilia game ya Mbeya city na Yanga , kiukweli kiwango kibovu kinachoonyeshwa na Yanga inashangaza ! haijulikani wanacheza fomesheni gani , yaani haijulikani wamewezaje kuongoza ligi mpaka sasa , Mbeya city inayoburuza mkia haionekani kama ina tofauti yoyote na Yanga yenye wachezaji wa Kimataifa .

๐๐๐Hii yanga ikicheza siku tatu mfululizo kwenye uwanja mmoja nyasi zote zinaisha, hii siyo timu ni makuruta
Leo uchawi umegonga mwambaVidimbwi wachawi sana
Wanakeketwa hadharani kudadadeqleo uchawi umegonga mwamba
Aibu sanaWanakeketwa hadharani kudadadeq
Aibu sana
Ha ha ha ha mungu anakuonaHii yanga ikicheza siku tatu mfululizo kwenye uwanja mmoja nyasi zote zinaisha, hii siyo timu ni makuruta
hahaaa daahHii yanga ikicheza siku tatu mfululizo kwenye uwanja mmoja nyasi zote zinaisha, hii siyo timu ni makuruta
Wameshona sare kama kawaSikuwa hewani nimepitwa na mengi wamelishwa ngapi
wameshona sare kama kawa
Na sisi tutaanza kuingia na MAPAKA kwenye mechi zetu zijazo ๐พ๐ฟ๐ฟ๐พ๐๐ ili tupate ushindi wa 4 - 0!!Walipaswa kufungwa chura hawa[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Na sisi tutaanza kuingia na MAPAKA kwenye mechi zetu zijazo [emoji82][emoji80][emoji80][emoji82][emoji79][emoji79] ili tupate ushindi wa 4 - 0!!
Ukiona uto anaongoza ligi basi ujue mnyama mkali hajacheza.Na nyie mbumbumbu fc mmeshindwaje kuongoza ligi mpaka sasa?