Timu mpaka inafungwa na Utopolo CAF basi kimeo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
FT: TP Mazembe 0-2 Monastir

Huwezi kujiona una timu kwa kuifunga TP Mazembe nyumbani. TP Mazembe ni ile ya kina Samata au hii ya juzi kati ya kina Baleke.

Timu mpaka inafungwa na Utopolo hiyo sio timu ni kikundi cha wahuni. Yaani mgonjwa mahututi anakuja kupigia chafya kwako.

Angalia hapo inapigwa na Monastir 2 kwao. Nilikuwa Mazembe ilikuwaje mpaka wakashiriki kombe la losers? Sasa nimepata majibu. Kwenye hili kundi timu ni Monastir tu.
 
Kinyume fc umepata wapi nguvu ya kuandika huu uharo..
 
Achana nao hao mkuu wanajaribu kutafuta attention lakini wapi Simba anawanyima usingizi
 
Kila siku hua nalisema hili, tatizo la mashabiki wa Simba ni moja tu kujiona wao ndio wanahaki ya kushinda na wao ndio wana timu ila wengine wote hawana timu,. Ila kiuhalisia wao sasa kipindi hiki ndio hawana timu wala wachezaji ,, Yanga ya sasa sio level zenu..
 
Simba ndio timu inayoongoza kufungwa na YANGA
Simba ndio timu inayoongoza kufungwa na kibonde wetu tp MAZEMBE
Mashabiki wa THIMBA wengi wao ni mbumbumbu hawajielewi.
Wazee wa 5-0 utopolo
 
Kuna wakati unajishushia hadhi ujue.
 

Comeback Ya King Mayele [emoji41]

 
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…